KATI YA MKE NA MUME NANI MUONGO ZAIDI HAPO?

Baki Njia Kuu...Michepuo Hatareeeeee.........Hapo nani katisha ?

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hapo ngoma droo!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. MKE NDIYO MUONGO ZAIDI SABABU NI VIGUMU KUMSHIKA, hii michezo wanajua kuichea kama PELE!

    ReplyDelete
  3. Mimi ni MWANAMKE nasema MWANAMKE Muongo zaidi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hiyo ngoma droo, we unsema mwanamke muongo labda wa tanesco

      Delete
    2. Wote ni waongo...ila siku hizi wanaume wamezid jaman...

      Delete
  4. Wanawake wanaongoza kwa ulalamishi

    ReplyDelete
  5. Wanaume ndo wanaongo jamani wanadanganyika zaidi na michina,

    ReplyDelete
  6. wanaume ndo waongo zaidi ,ukiyabania kwenye kona yanasema ukweli ila mwanamke hata umuofoo....hafunguki ng'oo....

    ReplyDelete
  7. Wanawake wanatiwa sana siku hizi jamani duh hadi aibu.

    ReplyDelete
  8. Sana tu! Zama hzi huwezi shindana na mwanamke kama huamini angalia movie ya ufoo saro, ilala ndo utaelewa

    ReplyDelete
  9. anayetongozwa ni rahisi kushawishika ,,,,,,achana na WADADA ni janga. Uliza sisi yalishatukuta

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad