KIMWANA ALIYE VUNJA NDOA YA BOB JUNIOR AFUNGUKA LA MOYONI

Mama wa mtoto wa kike mmoja na muigizaji kutoka kenya ambaye vile vile ni Promota ambaye alikumbwa na skendo kuwa ndiye chanzo cha ndoa ya msanii kutoka Tanzania Bob Junior na mkewe kuvunjika. Mwanadada huyu anayejulikana kwa jina la Ashlay Toto alikumbwa na skendo hiyo walipokuwa nchini Denmack na Bob Junior kikazi. baada ya skendo hiyo kumfikia mwanadada huyu alifunguka na kukanusha taarifa hizo vile vile Bob Junior naye pia alifunguka na kukanusha taarifa hizo.

Siku kadhaa zilizopita Bob Junior alifunga tena ndoa na aliyekuwa mke wake ambaye waliachana kwa kwa miezi kadhaa. Hapa mwanadada huyu kaamua kufunguka na kueleza hisia zake kuhusu  ndoa hiyo

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. dah yani malaya la kutupwa!

    ReplyDelete
  2. Sijawahi ona mwanaume asie fanya umalaya kutoka nje kawaida yao hata akuoe siku si nyingi atatoka tena oky bye

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umenena mdau yani uko sahihi kabisaaaa. Hakunaga mwanaume asiye toka inje ya ndowa wote mama yao mmoja

      Delete
    2. Naona malaya wawili mnapeana moyo. Mmeshindwa kuwapa wanaume wenu mapenzi kwa kujisahau na kujiona mshafika mnaanza kulaumu na kuona wanaume ni malaya. Ubunifu umeisha kila siku unakaa kifo ccha mende ukibalishiwa style unalalamika, kwann mtu asiende nje? Maamae

      Delete
  3. Mi sijaelewa bob junior karudiana tena na mkewe or kafunga ndoa na mkwe mwingine nisaidieni?!

    ReplyDelete
  4. ikifka miezi kadhaa mnaachana, kwa nn msitulie Na maisha yenu jaman, kila cku nyinyi? Mnaboa sana

    ReplyDelete
  5. jamani acheni tutoke nje wanawake mmezidi mna midomo,mnajifanya wajuaji,hampendi ndugu wa waume hampendi mama wakwe kelele nyingi,mnataka kutupeleka mnavotaka nyinyi hamna heshima,mapenzi yenyewe mnafanya kimazoea sasa tusitoke kwanini unakwenda pahali unapewa raha unasahau stress zote endeleni kulia na kulalamika badilikeni

    ReplyDelete
  6. Word mdau hapo juu kunywa fanta baridi hapo kwa mangi ntakuja kulipa.wake wanajisahau sana mume ataka malezi sio carolight nyumba ndogo wanajua kucare

    ReplyDelete
  7. Wanaume wakitoka nje wanatoka na wanawake so nyie kuma mlioandika hapo juu mjue tukitoka tunatoka na nyie. Wanawake wote sawa tu baba yenu ni mmoja.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad