LAMAR"NINA MPANGO WA KUNUNUA NDEGE BINAFSI HIVI KARIBUNI"

Producer Machachari wa Hapa Bongo Anaejulikana kama Lamar Amehabarisha Radio Moja hapa Bongo Kuwa ana Mpango wa Kununua Ndege yake Binafsi ili kumrahisishia Mizunguko yake Sehemu Mbali Mbali ...Amesema hizo ndoto alikuwa nazo muda mrefu na Ameshaanza Kuongea na Wauzaji wa ndege kuona kama atapata Moja ...Big Up Lamar...Utakuwa msanii wa kwanza Tz kuwa na Ndege Binafsi....

Mwanamuziki Mwingine mwenye ndoto kama hizo ni Ay ambae nasikia ameanza kujifunza kuendesha ndege ili kujiandaa atakapo nunua yake .....
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. All the best.. hope umefanya cost analysis ukaweza kujua gharama za kuiendesha ndege.

    ReplyDelete
  2. Unayo gari ya kutembelea

    ReplyDelete
  3. Mimi nilianza ka kiBajaji. Ila mei mwaka huu nitahamia ktk Duet. Lakini mpango wa Ndege pia ninao mwezi wa kumi nishaiagiza tayari. Ni boeng 777.

    ReplyDelete
  4. Lamar acha mbwembwe. Jipange kwanza ndugu.

    ReplyDelete
  5. Wenye ma-wivu utawajua

    ReplyDelete
  6. Tunakupongeza kwa dream yako.lakini usije ukaparamia mbuyu wakati hata mwembe huwezi kuukwea.Gharama za ku-run ndege sio mchenzo,wese,spare, maintenance etc,but all in all kila mtu anandoto zake hpe you will get there.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad