LE MUTUZ AWASHUKIA JAMAA WA TELEX MARKETING NA KUWAIITA MATAPELIZZZ!!

@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:- KUNA WABONGO WALIOISHI NJE WANAOJARIBU KUWADANGANYA WENZAO WA HAPA HOME ETI KUNA NJIA RAHISI ZA KUTENGENEZA PESA KWA KUTUMIA TELEX MARKETING NA MANENO MANENO MARKETING GROUPS, PEOPLE PLEASE NISIKILIZE HAKUNA NJIA RAHISI YA KUTENGENEZA PESA, WACHANA NA HAO WAHUNI FANYA KAZI NA JARIBU KUFANYA KAZI UNAYOIWEZA NA KUIJUA AND THEN INVEST YOUR EVERYTHING IN IT WACHANA NA HAO WAHUNI WANAJIFANYA WANAONGEA SANA KIINGEREZA NI MATAPELI TU!

- I MEAN WAPO WENGI SIKU HIZI HAPA MUJINI BONGO, ETI UTAFANYA TELEX MARKETING UTAKUWA UNAPATA USD $ 250 KILA WIKI, LAKINI LAZIMA UANZE KWA KUTOA USD $ 1,500 NDIO UWE REGISTERED HALAFU HUYO MHUNI ANAKAA SERENA HOTEL ILI KUKUNASA VIZURI WANAWATUMIA WABONGO VIBARAKA FLANI HIVI, JUZI MMOJA ALINIITA NIKADHANI KUNA DEAL KUMBE HAWA MBURULAZZ, PALE PALE NIKAMPA ZA USO, PEOPLE ACHANENI NA HAWA WATU FANYA KAZI!! ASUBUHI NJEMA SANA!! - LE MUTUZ

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivi? Lemutuz ni nan hapa TZ?

    ReplyDelete
  2. Nakumbuka mange kimambi aliposema watu wampe 15,000 na wafungue duka na duka Hilo liitwe bongolicious .Hivi huko USA Maisha ni magumu Sana yatakuwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mpuuzi mkubwa ww,huwezi kuacha kumtajataja dada Wa watu?na Kama hukumuelewa piga kimya kima wewe.

      Delete
  3. Mange ndo nani na anahusika vipi kwenye hii stori?

    ReplyDelete
  4. LEMUTUZ NI MBULULAZZ

    ReplyDelete
  5. Kama huna hela kaa kimya. Biashara yoyote ni risk...........unaweza ukalima yakaja mafuriko au ukame and so on........We lumutuz kaa kimya acha wanaotaka kuinvest wajaribu we inakuhusu nn wakitapeliwa???

    ReplyDelete
  6. jaman wandugu matapeli wapo sana juz wameniemail et nimeshnda cocacola award promo ya usa, et lakn natakiwa kulipa $499 ndo nipewe hayo mapesa, alafu hao majamaa wangu english ya kihuni ka wamarekan kwel, kaa chonjo.

    ReplyDelete
  7. Big up Lemutuuuuz kwa kuwa mkweli waache hao wavivu wa kufikiri na kupenda dezo waendelee kucheza cheusi chekundu Mburulaaaaaaz wakubwa hao.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad