TIMU ya taifa ya Libya imetwaa ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) 2014 baada ya kuifunga Ghana kwa penalti 4-3 kufuatia sare ya bila kufungana Jumamosi Uwanja wa Cape Town.
Ushindi huo ni sawa na Libya kulipa kisasi kwa Ghana baada ya kufungwa kwa penalti 7-6 miaka 32 iliyopita kwenye fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).
Hongereniii so cc. Tz
ReplyDeleteHongereni Kwa Ushindi Huo.
ReplyDeleteWatanzania Tutasubiri Sana
ReplyDeleteDah pamoja na vita kwao kila siku kuuana still wanaweza sio Tanzania
ReplyDeleteBig up sana walibya
ReplyDeleteWATZ mtaendelea kupongeza timu zawenzenu! wakati timu zenu nikichwa chamwendawazim
ReplyDeletetanzania na maendleo ya mfukoni hata kinA mess ronaldo ribery waje kuchezea tz hata hyo chan hatuchukui mpira wa bongo simba na yanga wAtu wanavuna pesa cku zinaenda
ReplyDelete