LOWASSA, SUMAYE NA NGELEJA WAHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI..MEMBE AKACHA

Wadau habari zilizopo nikwamba Bernard Kamilius Membe amekacha kikao cha maadili alichotakiwa kuingia leo kuhojiwa.Habari zilizopo nikwamba Lowassa ndiye aliyefunguwa dimba lakin mpaka muda membe ajaonenakana viwanja vya mahojiano na simu wakijaribu kupiga haipatikani.

Sasa yapo maswali mengi yakujiuliza je mh membe hajahudhuria makusudi? au anaumwa? au lengo lilikuwa ni mh Lowassa???? habari za upande wa pili zinasema yuko na jk uingereza,nachojiuliza mh rais alikuwa hajui kuwa huyo aliyeandamna naye alikuwa akihitajika na chama ili ahojiwe??au ni upendeleo?

Zaidi najiuliza kichwani mwangu angekuwa Lowassa ndiye kakacha leo wangezungumza nn?

Nafuatilia, nitawapa habari kamili

Source:Jamii Forums
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sasa kama yuko ziarani kwenye shughuli za serikali afanye? na nyie watu wa udaku mnaushabiki wa mtu fulani humu, inaonyesha.

    ReplyDelete
  2. we mdikamponyo (mdau hapo juu) hakuna kitu kinaitwa LAISI!!! unataka lowassa awe LAISI, aisee sijui hicho ndiyo cheo gani tafadhali!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad