MAJANGA YA UPATU WA TELEXFREE........TELEXFREE WAMESHTUKIWA
12
February 17, 2014
Haya sasa ile Movie ya Telexfree Bado yaendelea..Gazeti la Mtanzania nalo limecharuka na kuwaasa wananchi kuhusu biashara hiyo inayoendelea ..Pia Radio Mbali mbali kama Magic FM naona wamelichachamalia hilo swala japo bado kuna watu vichwa ngumu ukiwaambia kuhusu Telexfree kuwa sio halali unaishia kutukanwa mpaka matusi ya Nguoni....Haya Wale Wa Deci Mpyaaa Fungukeni hapa
Tags
Kama huna cha kupost piga kimya.
ReplyDeleteWatu tunapiga hela nyie mnachonga midomo.
Kama huna cha kupost piga kimya.
ReplyDeleteWatu tunapiga hela nyie mnachonga midomo.
Mweeeeee deciiiiii hiyo
ReplyDeleteP.O.O.R: Passing Over Opportunities Repeatedly. Fursa imekuja baada ya kuifanyia utafiti wa ndani then ndo muongee kwa confidence ila mnapeperushwa na watu wachache nao hawajafuatilia kwa jinsi biashara inavyofanyika the wanarusha post wengi mnaingia kingi. Mimi nimeshajiunga na ni mwezi sasa na nilibahatika kuhudhuria semina na kujifunza kwa undani kuhs this thing kwa undani kabla cjajiunga, sasa ninalipwa $1200 na kipato kinakua kila day yaan nawaambieni had mkataba wangu wa wiki 52 uishe nitakuwa mbali, mnaobwabwaja endeleeni kwa bidii and u will always remain P.O.O.R
Deletehamna cha bure kwa dunia ya sasa,
ReplyDeleteTutakuja kuwaona mikundu ikiwatoka maji kwa kupenda vya bure
ReplyDeleteTelexfree wamenitoa kimaisha,nimepata pesa,jumamosi hii naanza msingi wa nyumba yangu kibaha.
ReplyDeleteNi mradi wa unaosimamiwa na mtoto wa kigogo mmoja wa ccm anayejipanga kugombea urais.Ni yule mwenye sura kama mavi ya asubuhi.
ReplyDeleteNyie mabwegr kwel mnaongea vitu hata hamjui.huyo mtoto wa rahisi anasimamiaje mradi wa telexfree wakat ni kampun ya marekan...kwel wa tz mam bumbu...duh.telexfree haiwahusu ach tupge hela mamburula pigen madomo hayo
ReplyDeleteHuwezi kuongea bila kufanya utafiti Tatizo la sisi wa-Tanzania tulio wengi hupenda kuongea mambo ambayo hatuyajui wala hatuko tayari kufanya utafiti.
ReplyDeleteKi ukweli TelexFree ndo mkombozi wa wanyonge we sema DeCi , sema utapeli, sema lolote utakalo lakini Telexfree ndo mambo yote na kwa taarifa yenu ni kampuni halali imesajiliwa huko Marekani pia inafanyakazi online na watu walio tayari kubadili maisha. wanazo products moja ni telexfree 99 ambayo inafanyakazi sawa na skype, pia anatangaza biashara ya makampuni mbalimbali ya kimataifa na hii ndo maana anahitaji promoters anaowalipa ili aweze kupata online traffic ambayo inamsaidia kuuza na kugawana riziki na sisi promoters huu ndio ukweli ninaoujua mimi kama huamini basi wewe tulia. kwa maelezo zaidi 0784492169
Ndugu mimi Ni shuhuda namba moja wa telexfree wakati wanakuja Tanzania tokea Uganda,,, nakumbuka huyo kaka alituita maeneo ya hotel moja kariakoo mimi na rafiki yangu na mama mmoja tukaenda kudikiliza presentation kwa muda wa saa mbjli.. Maswali yangu yalikuwa marahisi lakini yule kaka hats hakuwa anaweza kunibu.. Jina lake alijiita smart..baadae Kuna watu wenginne walikuja na kujiunga pale na hapo ndo telexfree ilianzia...ilianzia hotelini tens jamaa alikuwa anakaa kitandani kabisa kaka tuko hostel watu wazima wanatoa dola elfu mbili pale eti kitandani....ligically haikuniinvia kichwani...

ReplyDelete