Ni Kris ndiye aliyemwalika Kim wakae pamoja baada ya mrembo huyo kujifungua mtoto wake, North West, June 2013, kwakuwa nyumba yao ya Bel Air ilikuwa bado ikiendelea kujengwa.
Lakini kwa sasa mwanamke huyo mwenye miaka 58 amechoka kujisikia kama mgeni kwenye nyumba yake mwenyewe na inadaiwa kuwa alimpigia simu mhandisi wa nyumba ya Kim kwa siri kumwambia akaze mkono amalize nyumba hiyo ili mwanae aondoke.
hii imekaaje hii..
ReplyDeleteHuyu admini msenge habr gani?
Deleteadim mkuma kweli unajua tu ku copy naku paste
ReplyDeleteMxiuuuuuuuui,hovyoooo sasa ndo ameandika nn?mara amewafukuza mara amempigia cm mhandisi,mfyuuuuuuu!be creative we adm popompoo
ReplyDelete