MAN UTD KAMA KAWAIDA YAO, WALALA 2-1 KWA STOKE CITY
7
February 01, 2014
Mmmmh Jamani mie sio mshabiki wa Mpira kiivyo ila navyoona na ninavyosikia kila kona Man u jumba limewaangukia mwaka huu kila siku wakicheza lazima wapigwe 2 something ....mmmh wanahitaji maombi tena ya Mwakasege.........Au unaonajeee? tuwakesheeee
Tags
Majanga tena
ReplyDeleteKichwa cha bibi..
ReplyDeleteTimu ya majanga
ReplyDeletePiga hao wasenge
ReplyDeleteMsenge mama ako
DeleteMsenge wewe unaeshabikia mzoga.airtel bingwa man u bingwa;)sijalisikia tena hilo tangazo maana lilikuwa linawaumiza sana waombolezaji wa mzoga
DeleteHii so sehemu ya kutukana tuelimike
ReplyDelete