Msanii aliyepata kuvuma sana kabla ya mwaka 2010 alimaarufu kwa jina la Marlaw, amejutia uamuzi wake wa kukipigia kampeni chama cha ccm kwani kimemporomosha kimuziki.
"Unajua mimi mwaka 2010 nimeburudisha ktk kampeni za ccm lakini nimeambulia kushuka kimuziki sijui ni siasa imehusika au la kwa sababu toka hapo nimetoa nyimbo nyingi lakini hazivumi tena, sasa sitaipigia ccm tena labda chama kingine si unajua vijana wako wapi mzee ha ha haaa si kwamba nimejitoa ccm hapana mi ni msanii naburudisha watu wote"
Mwananchi lilipotaka kujua ni chama gani amekilenga kukipigia kampeni kwa malipo alisema bado muda wa kukiweka hadharani.
Wasanii someni alama za nyakati msije jikuta mko njia panda kimuziki huu ni mfumo wa vyama vyama vingi.
Besta ndo kakuporomosha kimuziki bwege wewe,acha kuitupia lawama ccm...mkundu wa besta ndo umekudatisha ukasahau majukum yako
ReplyDeleteNa umeshajua huwezi kuitwa maana huna ngopa yoyote hit sasa utafanya nini kwenye campeni.na pia CCM haijajielewa nani awe rahisi ila kama ni lowasa wala hawaitaji wasanii maana yule anakubalika hata bila manyimbo nyimbo yenu
ReplyDeleteWewe anonymous 4:38am jifunze kuandika au ndo elimu ya ccm imekufanya usijue kuandika? Ni raisi siyo rahisi, na ngopa ndo kiswahili cha wapi?
ReplyDeleteCome Chadema, ila huku hakuna malipo na huku tupo kamiligado na mhamashaji wetu mkuu Selestine Mapunda MwanaCotide, Mbunge Mtarajiwa wa Mbinga Magharibi
ReplyDeleteLabda unaweza kuchukua nafasi yake, andaa michano, sisi hatuna makeke meengi ya ulaghai, sisi ni 'kunja ngumi' sisi tunaamini kwenye nguvu ya uma wao wanaamini kwa nguvu ya EPA
Ajipange upya wala asisingizie ccm kwani yeye sio msanii peke yake aliyepigia kampeni ccm mbona wenzake waliopiga kampeni nae wanashine,mfano Ali kiba, Diamond, Chege,Tundaman Madee,nk.Jipange bro kwani kila jambo na wakati inaonekana wewe wakati kama unataka kukuacha jitahidi kutunza familia na usisingizie vitu visivyoingia akilini. Akbar Junaid.
ReplyDeleteDogo anatakiwa abadilike nakutambua kuwa mziki nikama bidhaa yoyote ile hivyo kutoa mziki tu haitoshi kuhit, anahitaji kwanza aji market yeye binafsi vilevile aumarket mziki wk.hapo ndio tofauti kati ya Diamond na wanamuziki wengi wazuri ipo.Jamaa anaanza kwa kufanya launching ya muziki wk then anazunguka kumarket.
ReplyDeleteHa ha haaa kweli huyu bwege
ReplyDeletetatizo hujitambui.muziki sio tu kupayuka kwenye stage alafu ukae usubiri kipato.muziki umekuwa wa mashindano zaidi amka, tupa shuka kafanye kazi usitafute visingizio mbuzi.
ReplyDeleteNi maisha 2 mwana
ReplyDeleteAmekumbuka shuka wakati kumeshakucha!
ReplyDeleteOooooh,wale vijana waliokuwa wanaporomosha mijitusi kwenye blog ya MPEKUZI kumbe wamehamia huku?kazi ipo.
ReplyDeleteMarlaw huoni aibu kuisingizia CCM,kweli mfa maji haishi kutapatapa so wakikupa kama 200m leo huimbi.Hebu uwe unafikiria nini chakuongea bora ungenyamaza.Umeongea kitu kibaya sana kitakucost milele
ReplyDeleteMarlaw ulipomaliza zile kampeni za ccm ulitulia zako hukuonyesha jitihada tena za kutafuta ulitulia ukawa unatumia ila umeishiwa sasa unakilaumu chama tawala kuwa kimekushusha kimuziki acha ujinga huo muangalie Ali kiba nae atamlaumu nani cjui maana alipotoka marekani ilitakiwa asilale lakini Leo yuko wapi huo no ubwege muoneni diamond halali kwa kuhangaika name kazi zake nyie kazi lawama tu ndugu Yangu marlaw usitegemee kupata shavu kwenye kampeni za mwaka 2015 huna nyimbo nani atakuita au utaimba zilezile za kale? Mwambie besta asikabe sana kiivyo
ReplyDeleteHUYU MTOTO PUNGA KWELI,YAANI WEWE KUTOKUWA NA JITIHADA KWENYE FANI NDO KUMEKUPELEKEA KUFULIA.HALAFU TANGU UMUWEKE NDANI BESTA NDO KABISA HUNA MAENDELEO YOYOTE YALE,SIJUI HUWA MNAKAA NA KUANZA KUANGALIANA TU NDANI? MAANA HATA DEMU WAKO MWENYEWE HIVI SASA HANA MBELE WA NYUMA! JIPANGE PUSSY WE!
ReplyDelete