MASKINI SHILOLE..KUMBE BWANA'KE MZUNGU ALIYEMNADI NI "MWANAUME TATA"

Yeleuuuwi! Siku chache baada ya msanii wa sinema na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kujinadi na mchumba wa Kizungu aliyejulikana kwa jina moja la Ankar, siri imefichuka kwamba jamaa huyo ni mwanaume tata. 
Kikizungumza na Ijumaa Wikienda kutoka London, Uingereza, wikiendi iliyopita, chanzo hicho makini kilisema mwanaume ambaye hivi karibuni Shilole alijinadi kuwa ni bw ana’ke siyo kwani huko London baadhi ya watu wanamfahamu kama mwanaume tata kijinsia.“Yule jamaa anapenda sana kukaa na wanawake, sijawahi kumuona na wanaume wenzake, kazi kukata tu mauno na wanawake. Nilishangaa sana Shilole kusema eti ni mc humba’ke wakati hapa London (Uingereza) ni maarufu sana kwa kushiriki pati za wanawake. “Maskini Shilole, pale imekula kwake, hakuna chochote,” kilisema chanzo hicho. Baada ya kunyetishiwa habari hizo, gazeti hili lilimtafuta Shilole ambapo alikuwa na haya ya kusema: “Jamani imeniuma sana kwani nilikuwa sijui, nimeligundua hilo baada ya kuambiwa na watu, nilipigiwa simu kutoka Uingereza kwamba yule mwanaume siyo hivyo sina mpango naye tena kwa kweli,” alisema Shilole anayetamba na kideo cha Nakomaa na Jiji.

GPL

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu shilole sio mzima anapenda sana kujisifia kama anashida na bwana si arudi kwa mumewe makkala igunga

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona Kama Dume jike.cross dreaser

      Delete
  2. Tamaa tu anajua kila mzungu ni tajiri ndio maana wanaliwa tigo sana hawa dada zetu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyo wa mange kimambi analazimishwa kuwa tajiri and he lives payche to paycheck .Mange kimambi Madai yake anamatatizo na Mimba yake .Mange akaandika mume wangu I wish angekuwa nyumbani lakibu inabidi aende kazini kulisha family.Huyo Mzungu tajiri hatumuoni utajiri.Kutwaa mange akihama soon we arrive I will show you my house .Wazungu ndio wanapesa ila hawatumii kwa MWANAMKE mvivu gold digger kukaa ti.Mzungu utampenda ukiwa na Kazi yako nzuri na mshahara wako uta enjoy na Mzungu ila mchezo wa kuhisi ukiwa na Mzungu ndio utajiri huo j
      Hell no .

      Delete
    2. Hey mdau si bora. Mange kimambi kastirika kwenye ndoa na ana watoto 2 mwingine yu njiani panapo majaliwa

      Delete
  3. kwikwikwiiiiiiiiiii.....sa ulikua ujui back ground afu waanza kuita mchumba……! dah wabongo tusiaibishane kiivo

    ReplyDelete
  4. Mutafirwa kila leo wamalaya wakubwa kuwa na mzungu ndio dili.

    ReplyDelete
  5. Tehe.....shilole unawafundisha nn wanao.....!!!!???

    ReplyDelete
  6. Mxiuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  7. Acheni kuvurugwa shilole alitaka kiki anajua kama huyo jamaa ni shoga maana yy na aunty lulu marafiki zao ni mishoga kina Bilal aka bileyla na huyo jamaa ni rafiki WA bi leyla

    ReplyDelete
  8. Mmmmmh,napita Tu.

    ReplyDelete
  9. mtavamia hata majini kwa kutaka kwenu masifa.mbona anaonekana tu hata bila kuambiwa?

    ReplyDelete
  10. Bongo bwana! Kila mtu mweupe ni mzungu lol!!!

    ReplyDelete
  11. zote njaaa hizo

    ReplyDelete
  12. Kupenda kwenu wazungu ndiko kunakofanya mtolewe mavi Aya nyonyanyen alafu mtafute mtu awajambishe mnye mimavi

    ReplyDelete
  13. noma sana aisee!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad