MBOWE ALIVYO ZIMA VURUGU BUNGE LA KATIBA, KURA ZARUDIWA KUHESABIWA

MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Freeman Mbowe ameonyesha ukomavu mkubwa katika uongozi na masuala ya siasa baada ya kufanikiwa kumwongoza Mwenyekiti wa Bunge maalum la kumtafuta Mwenyekiti wa muda wa Bunge hilo.
Mwenyekiti wa Bunge hilo Oliva Luena alikubwa na wakati mgumu wa kuliongoza bunge hilo, lenye wajumbe zaidi ya 548,katika mchakato wa kumtafuta mwenyekiti wa muda,hali ilikuwa tete ndani ya ukumbi huo wa bunge baada ya kura kuharibika kutokana wajumbe zaidi 45 kuongezeka, badala ya wajumbe 548 waliokuwepo wakati wa zoezi la kupiga kura.

Hatua hiyo ilimlazimu Mwenyekiti huyo kuamuru zoezi la upigaji kura urudiwe,huku baadhi ya wajumbe wa bunge hilo maalum wakipinga hatua hiyo kwa madai kwamba itapoteza muda na pengine wakaja kurudia tena zoezi hilo.

Wajumbe hao waliokuwa wakizungumza bila kufuata utaratibu, huku wakishindwa kumsikiliza Mwenyekiti wao Luena kutokana na kile walichodai kwamba kura zilizozidi ziondolewe,huku wengine wakidai kwamba kila mjumbe ahesabiwe kwa mtindo wa namba moja hadi mwisho yaani kila mmoja asema namba moja hadi wa mwisho.

Hata hivyo hali hiyo ilimfanya Mbowe asimame na kuzungumza kwa hekma na busara huku akimtaka Mwenyekiti huyo kufuata ushauri wake, ambapo alisema kwamba,  "Mwenyekiti naomba utumie hekma kurudia zoezi la kura kupigwa upya", kauli ambayo ilipingwa na baadhi ya wajumbe.

Mbali na kupingwa vikali na baadhi ya wajumbe waliokuwa ndani ya ukumbi huo wa bunge, huku mjumbe mmoja akizungumza ovyo na kusema kwamba kila mmoja asimame nyuma ya mgombea anayempenda ndipo wahesabiwe.

Wajumbe hao pia hawakuzingatia hata heshma ya kiti aliyokalia mwenyekiti Oliva Luena kuwapa nafasi, Mbowe bado hakutaka kutumia jazba badala yake akaendelea kusisitiza kwa kauli ya upole,hekma na busara kumuomba mwenyekiti huyo kukubali ushauri wake wa kura kudiwa.

Mbowe alisema,"Mwenyekiti mimi nina mambo matatu ya kukushauri katika zoezi hili, moja milango yote ifungwe ili watu wasiokuwepo huku ndani wasiingie kuvuruga uchaguzi huu,pili wajumbe wote wakae chini,tatu karatasi za kupigia kura,zigawiwe kwa kila mjumbe kwa kupelekewa kwenye kiti chache, kwani kwakufanya hivi tutakuwa tumekwepa historia mbaya ya kura kurudiwa ndani ya nchi hii".Hatimaye Mwenyekiti wa bunge la mpito Oliva Luena alikubaliana na ushauri huo na kuamuru zoezi la upigaji kura urudiwe. Wagombea waliokuwa wakipigiwa kura ni pamoja na Pandu Ameir Kificho ,Magdalena Lubangila,Professa Coaster Rick 

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acha usenge we kuma admin alietoa wazo Hilo ni katibu wa bunge la wawakilishi mboe amekandamizia tu na kwa taarifa yako Pande Amir Kificho Ndiye kinara ccm unaijua wewe baki na chama chako cha ukabila

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa haraka haraka tu wewe ni mdini tena sana na unafanya kulazimisha mtu wako apite kwa interest za mawazo yako mgando.si kila asemalo mbowe ni baya.hatutengenezo katiba ya ccm au ya msikiti hii ni katiba ya tanzania.fack you

      Delete
  2. Ww unacomment nn kwani ni uongo mboye hakumshauri m/kiti tena kwa upole na busara na m/kiti akaafiki?watu wote wameona ktk tv sasa unabisha nn?hata kama mtu humpendi na mawazo yake pia huyataki?ww unamatatizo ,binadamu ni utu ,inaonekana hata mtu akiongea pumba utamkubali kwa sababu unampenda eeeh!makubwa.

    ReplyDelete
  3. Matusi hayatakiwi hapa halafu inaonekana hawa watu wa ccm wanapenda sana matusi. Hata hekima hawana

    ReplyDelete
  4. matusi hayana chama ni akili ya mtu jinsi alivyolelewa na uelewa mdogo.

    ReplyDelete
  5. tatizo ni kwamba, ccm iliwasomesha wengi wa hawa vijana kwenye shule za kata, sasa akili ni finyu ndiyo maana wanatukana hovyo, hawana akili hata kidogo.

    ReplyDelete
  6. HIVI NYIE WASENGE KWA NINI MNATUKANA TUKANA KINYOKONYOKO ASEEEEEEEEEEEE

    TUMIENI BUSARA HAPA SIO SEHEMU YA MATUSI MAPUMBU YENU NYIE

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad