MBOWE AMJIBU KIKWETE"NAOMBA USIINGIZE UTANI KATIKA JAMBO ZITO LA TAIFA"

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amemjibu Rais Jakaya Kikwete kwamba asiingize utani katika masuala mazito ya taifa. Mbowe alisema Katiba ya Tanzania, itaamuriwa na wananchi wenyewe na si Chama Cha Mapinduzi (CM) ambacho kimekuwa na mkakati mkali wa kutaka kuua maoni ya wananchi.

Mbowe ametoa kauli hiyo ikiwa ni siku moja tu baada ya Rais Kikwete kudai amesikia kiongozi huyo wa upinzani akitangaza kutumia nguvu kupata Katiba mpya.

Rais Kikwete alitoa kauli hiyo juzi kwenye uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya, wakati akihutubia sherehe za miaka 37 ya kuzaliwa CCM. Alisema amesikitishwa na kauli hiyo na kuwataka Watanzania kutobabaishwa.

Kikwete alisema Katiba mpya itapatikana kwa hoja za kila upande kulingana na mapendekezo yake. 

Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, Mbowe alisema Rais Kikwete hapaswi kuchukulia utani katika mambo mazito ya taifa.

“Namuomba Rais Kikwete asichukulie utani mambo ya taifa suala la Katiba mpya. Anapaswa kuzungumza mambo ya msingi ambayo yanaleta tija.

“Siku zote Katiba ya nchi inapatikana kwa dhamira nzuri lakini tumebaini wenzetu hawa CCM hawaheshimu hoja za wananchi.

“Hebu tujiulize jinsi Jaji Joseph Warioba alivyotumia fedha nyingi kukusanya maoni ya Watanzania, leo CCM hao hao wanayakataa tuwaeleweje?” alihoji Mbowe.

Alisema Jaji Warioba ametoa hoja za msingi lakini kwa sababu ya uoga wa CCM wanataka kupindisha ukweli wa mambo.

“Mzee wa watu huyu amezunguka taifa zima kwa fedha za walipa kodi wa nchi hii, sasa wanataka watumie wabunge wao kukwamisha mchakato huu,”alisema Mbowe.

Alisema kama utawala wa Rais Kikwete utashindwa kuleta Katiba mpya ambayo inakidhi matakwa ya Watanzania, wao wataendelea kudai utawala mpya utakapoingia madarakani uwe ni wa Chadema au CCM.

“Nawahakikisha Watanzania, ikija Katiba mbaya tutaendelea kuidai kwa nguvu zote iwe CCM imeingia madarakani au sisi, Kikwete awe madarakani au asiwepo hatulali kamwe.

“Katiba ni maridhiano ambayo yanabeba maoni ya Watanzania sasa kwa nini CCM hawataki kuyafuata?” alihoji Mbowe.

Alisema CCM haina hatimiliki ya Katiba mpya na kwamba wakati wa kufanya uamuzi mgumu wa kupindisha maoni ya Watanzania umefika.

“Hawa watu hawana hatimiliki ya Katiba mpya, kwa nini wanajawa uoga kiasi hiki? Wanaogopa serikali tatu, nakwambia sitaki utani kwenye ya msingi,”alisema Mbowe.

Tags

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kazunguuka nchi nzima kwa pesa za walipa kodi ww mkundu kweli ushasaau ulitumia pesa ya walipa kodi kualisha safali ya MARAYA wako kwenda kutombana DUBAI! Basi tuliza matako yako Umwombe mkeo RADHI pumbafu ww, lione sura kama .... Tena unatia aibu kwa kupenda kuma kama BEAR.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe ndie unaenyonya mboro ya profesor Kapuya,subiri kansa ya koo.yani kwa makadirio yangu wewe ndio utakuwa na busara kwenu sijajua baba na mama yako wakoje kama mtoto uko na matusi hivi.jenga hoja habari ya matusi hapa haipo.unaingiza outsnding facts kwenye mambo hayana hata uhusiano.bado na mama yako na yeye atatiwa na mbowe then anafatia dada yako anakuja na mfanyakazi wenu wa ndani.stupid son umenifanya nikutusi ingawa naelewa sio busara.mnakera sana nyinyi watu ndio mnaochora zombie kwenye mitihani ya taifa.kutwa mnachanganya mada

      Delete
    2. na wewe huna tofauti na huyo hapo juu maana hujatuonyesha hoja yoyote

      Delete
  2. Wew mtoto mdgogo mwenye kumwaga matuc hivi utakua lini? Ukishatukana hivi inakusaidia nn? Ukichukuliwa ukang'olewa kucha na meno utalalamika? M2 mwenywe mlala hoi babako hafahamiani na ata mkuu wa mgambo utakuja kuwasumbua ndgzako bure tu kwa kutukana wakubwa. Unafiikir mh. Mbowe ni sawa na babako kapuku? Mjinha kbs

    ReplyDelete
  3. Kama ukikosa hoja za kuchangia ni heri kunyamaza ili tuwapishe wwnye hoja waseme na sio kujaza matusi ambayo hayatabadilisha chochote mbaya zaidi umeshindwa hata kunyoosha kiswahili ambayo ni lugha unayoitumia kila siku kwahiyo kaa kimya usipotoshe wachangiaji kwa matusi yako.

    ReplyDelete
  4. Hajajitambua bado.........

    ReplyDelete
  5. Uking'olewa kucha ooh wanatuonea

    ReplyDelete
  6. Bushit!!!!!ndo maana tanzania hatuendelei kama hautaki kuongozana na sis kwenye maendeleo basi usikae kwenye njia tunayopita maana tutakukanyaga

    ReplyDelete
  7. Duuu! mi nachoka sana napo:na watanzania wenzangu mnatusi, hadi wazazi wetu. hayo ndo maendeleo? au huo ndo ukomavu kisiasa?.Asante mbowe tunachomba msitutie majaribun nguvu ya hoja itumike na cio tushikiane rungu, tofauti na hapo muwe wa kwanza kufa

    ReplyDelete
  8. Muweke watoto wenu mbele kwenye kupigana sio wachomvu na wanaotafuna bangi! Hao walio zaliwa U.S.A

    ReplyDelete
  9. mbowe una hoja ya msingi hongera

    ReplyDelete
  10. wewe unaetoa matusi, ukalale, ule, ukue, upge pamba, na upate maisha mazuri ya kibongo KWANI NI FIKA UMEJIONYESHA JINSI USIVYO ULIVYO WAKALE. USILETE UTANI KWENYE MASLAHI YA WENGI AMBAO HATUKA RIDHIKA NA MAISHA.

    ReplyDelete
  11. nyinyi hapo mliotangulia wote wasenge, hamna hoja ya mcngi ni bora mkae kimya, manina zenu

    ReplyDelete
  12. mbowe una kauli nzito au umeona hii ndio njia ya kuimarisha chama chako fanya yako yote usije ukawa chanzo cha kuichafua tanzania yetu kusema kweli hali ya maisha mbaya lakini machafuko mabaya zaidi kama likitokea hilo ambalo ww hulitaki basi tafuta njia ya busara usije ukasababisha dhana ya ubaguzi naona kwa kauli zako hilo linawezekana chonde chonde watanzania tuwe makini wanasiasa hao wasije kuichafua nchi yetu naamini ana uwezo wa kuhamisa familia yake kwenda nchi yoyote sisi wengine nauli ya kupanda gari muda mwengine inatushinda tuende wapi na familia zetu watoto wanaweke wazee walemavu wingi wataadhirika na kunyanyasika. msicheze na maisha ya watanzania
    WANASISA TENA WA VYAMA VYOTE BILA YA TANZANIA TULIVU LEO MSINGEKUWEPO NA MAISHA MAZURI NA MKAFKA NYAZIFA MLOKUA NAZO MSITUBABAISHE WENGI WENU MNAJALI KITU KULIKO UTU.

    ReplyDelete
  13. Mbowe ni mtu wa kuropoka hujasoma na muono wako ni mdogo we hujui au ulikuwa hujui kwamba ni lazima rasimu ya katiba ipitishwe na bunge la katiba halafu unaposema maoni ya wananchi yatakuwa yamepuuzwa hivi unahabari ktk wtz 45m waliohojiwa hawazidi laki tano acha kuwapotosha nikweli hayo ni mambo mazito yakitaifa na sio kuzungusha CD CLUB BILLCANAS.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ata kama hawazid lak tano,we ultaka mil 45 wte wahojiewe?,thats impossible.sampling ilifanyika kurepresent wengne

      Delete
  14. Anaitwa mr misifa ndo maana anaona kuongea ni sehem ya kujisafisha zidi w ukanda na ukabira. Ili tumpe uraisi ache ubaguzo ma kungangania madaraka wapishe wengine tuwaone wanasera gani. We tunakujua sera zako ni maandamano ubaguzi vurugu chuki ukanda uchu wa madaraka kujirimbikizia mari.

    ReplyDelete
  15. wee bwege UKABIRA ndiyo nini? wewe kweli umemaliza darasa la saba?, kama kisomo chako ni duni, naomba uone aibu kuchangia mada humu, maanake ccm wamekulea mpaka sasa hata kuandika kiswahili fasaha hujui, wewe hakuna kitu kinaitwa ukabira wewe bwege wa 8:14PM, ni ukabila, ulishaandikaga insha kweli wewe? Mhs Mbowe hapo kaongea cha maana halafu wewe unakuja na ujinga wako wakutokujua hata kuandika, pumbaff.

    ReplyDelete
  16. hata mali unaandika MARI, aise rudi shule, tena darasa la kwanza kaanzie, bwege wewe!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad