MBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA AKAMATWA NA POLIS

Kamatakamata ya Viongozi wa CHADEMA baada ya huko Kahama na Iringa imeendelea hii leo baada ya mbunge wa Arusha mjini kamanda Godbless Lema kukamatwa na Polisi...

Hivi sasa anahojiwa na Jeshi la Polisi nitaendelea kuwajuza zaidi...


-----------------------------


Mbunge wa Arusha Mjini aliyekua ameitwa kituo kikuu cha Polisi Arusha mapema leo, ameachiliwa baada ya mahojiano ya muda mrefu na. Kamanda wa upelelezi kituoni. Hapo. Pichani Lema kwenye gari lake akitoka polisi mchana huu..
Jamii forums
Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mapambano yanaendelea huu ni mwanzo tu!

    ReplyDelete
  2. hamna kitu.bwebwe nyingi mikogo mingi kazi hamna

    ReplyDelete
  3. Chadema aka wazee wa kususa na maandamano ukipenda zaidi waite mfumo K!

    ReplyDelete
  4. GGODBLESSS LEEEEMAAAA, JEMBE LENYEWE HILO LA ARUSHA, ameshazoea polisi, maanake kila kukicha wanamfuatafuata, Mungu yupo pamoja nawe kamanda, tunakuombea utukomboe kamanda.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ukombolewe na binadamu mwenzako?kweli wa Tz tumefilisika kimawazo. Fanya kazi utajikomboa mwenyewe wacha kutegemea wanasiasa hawa uchwara hawatakusaidia kitu ndg yangu. Wanasiasa wote ni the same!!

      Delete
  5. sijamaanisha kunikomboa mimi kimaisha ndugu yangu, tafakari kwanza alichosema mwenzako ndiyo uandike la maana siyo huu utumbo, ni kukomboa nchi yetu iliyodidimia kiuchumi na kimaendeleo, wewe nadhani ni wale watu waliosomeshwa kwenye shule za kata na ccm, ambao akili zenu ni finyu sana, halafu bado mnawatetea, pumbaf.

    ReplyDelete
  6. Tena huyo akili zake ni used coz hana hata akili ya kupambanua jambo na ccm imemlalia hajui hata atokee wapi hao police nao wamekuwa vibaraka wa hao ccm kila siku wanaleta siasa chafu bongo itakapokuja kunuka tutaona kma nao wTapanda pipa kuhama nchi maana hao mapimbi wanaotukana bungeni halafu yanapeaa vyeo kuwa mawaziri ndio hao jamaa anawapenda chadema iko juu na haiogopi mtu na ndoo maana wamefukuza hata lile lililoonekana kuwa jembe ambalo nalo lilikua kibaraka wao

    ReplyDelete
  7. GODBLESS LEMAAAAA- RAISI WA ARUSHA!! tupo pamoja kamanda.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad