MH KIFICHO MWENYEKITI WA BUNGE LA KATIBA

Mheshimiwa Pandu Amir Kificho ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa muda wa Bunge la Katiba baada ya kupata kura 393 sawa na 69.19% ya kura 558 zilizopigwa na kuwaacha kwa mbali Costa Mahalu na Magdalena Rwebangira ambao wamepata kura 84 kila mmoja ambazo ni sawa na 14.79%


Kura saba ziliharibika
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. CCM hoyeeeeeeeeeeee
    Na Move inaendelea.

    ReplyDelete
  2. its very great SHAME 2 our leaders yan hata wabunge nao wanaharibu kura?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ingepata nafasi ya kutoa maoni kwa wajumbe wa bunge la katiba ningeshauri mwenyekiti wa muda na wa kudumu asitokane na maspika wa pande zote,maana wangepewa nafasi watu wengine,nimeshangaa yaani hatuna watu wengine mpaka tuwang'ang' anie hao hao?sijaipenda hiyo.

      Delete
  3. Mimi pia sijaipenda hii ya spika kuchaguliwa tena kuwa mwenyekiti, ina maana hao wajumbe wengine hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza zaidi ya hao maspika??? Hongera kwa Mama Makinda hajaonyesha tama ya madaraka ila huyu spika wa Zanzibar kazidisha haikuwa lazima agombee angeachia hiyo nafasi wengine nao wagombee hata kama ni uenyekiti wa muda lakini angekaa pembeni kidogo at least kwenye hili. Si lazima uwe kiongozi kila mahali unapoenda.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad