Web

MH. LOWASSA AKANA UMILIKI WA KURASA ZA MITANDAO YA KIJAMII

Kumekuwa na kurasa (accounts) mbalimbali zenye jina la Mh. Edward Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mitandao ya kijamii Kama vile Facebook,Twitter,Instagram nk.
Zinazoonye kuwa mmiliki wake ni Mh. Edward Lowassa.
Ukweli ni kwamba hizo kurasa zote hazimilikiwi na Mh. Lowassa.
Kwa maana hiyo chochote kinachoandikwa au kuchapishwa kwenye kurasa hizo,hazihusiani kwa namna yoyote na Mh. Lowassa.
Hata hivyo Mh. Lowassa anawashukuru wote wenye kumiliki account hizo bila ya ruhusa yake, kwani anaamini wamesukumwa na mapenzi yao kwake.
Imetolewa na 
Ofisi ya Mh. Edward Ngoyai Lowassa 
Mbunge wa Jimbo la Monduli.

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivi ni sahihi kumuita Low-waser kua ni waziri mkuu mstaafu? Alistaafu au ? Nashindwa kuelewa hy statement ya kustaafu.

    ReplyDelete
  2. Politicians kweli ni personality disorder.Lowasa Aliachishwa Kazi kwa ajili ya wizi sasa anataka tena chance aibe .

    ReplyDelete
  3. huyu mzee mbona anatulazimisha vijana tumkosee heshima?

    ReplyDelete
  4. Changa la macho.

    ReplyDelete
  5. Alifukuzwa kazi na nani wewe kuma

    ReplyDelete
  6. WATZ jueni kutofautisha mambo! kwani LOASSA alitimuliwa au kastafu? kustafu nikumaliza kazi kwamhula unaokuwa umepewa, kutimuliwa nikukatishwa nakunyanganywa madalaka unayokuwa umepewa! huyujamaa alitimuliwa acheniubishi, amakweli ujinganimzigo

    ReplyDelete
  7. na sasa anataka URAISI!! kweli afrika ina mambozzzz!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad