MISS TANZANIA FARAJA KOTA AMSIFIA MUMEWE WAZIRI NYALANDU..AELEZEA WALIPOKUTANA

Msikilize hapa chini Faraja Kota Akielezea kuhusu mumewe ambae ni Waziri Katika Bunge la Tanzania Pia Asema walipo kutana:

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pesa ndio mapenzi siku hizi. Hapendwi mtu inapendwa pochi!

    ReplyDelete
  2. umeona eeh, mamiss wote wanapenda mihela duuuh

    ReplyDelete
  3. Angekuwa maskin asingemsifia na hiv amekuwa wazir atasifiwa mpaka mkun mamae

    ReplyDelete
  4. Naipenda sana hii couple

    ReplyDelete
  5. ngoja hayo mazeee yenu yawauwe na ukimwi malaya wakubwa shenziiiiiiiiiiii ovyoooooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. damu za wazee tu ndo znakaa na ukimwi mwache dada wa watu ainjoi life yake...mshaurini uso harage nae akamate fursa anakaa kuchezewa na vitoto vtampeleka wapi maskin weeee

      Delete
  6. Angekuwa hana hela angempenda ebu tutokeeni hapa

    ReplyDelete
  7. Kiss hela uone wadada walivyo na roho mbaya hata hakeangalii Mara mbili ushaa wahi ona mtu anapenda mzee

    ReplyDelete
  8. ..... Mnatakiwa kujua mambo nyie mambulula,sio mnajiandikia hovyo. Huyo dada alikua kichwa darasani balaa. Angalia alikua tatu bora mtihani wa kidato cha nne kitaifa. Nadhani alikua namba moja au mbili. Hata kidato cha sita,alitisha balaa. Alikua tatu bora pia. Chuo Kikuu ndo balaa sasa. Anajitambua,sio kama kina Wema wenu. Amefanya mambo makubwa sana bila makeke. Michango na kuhamasisha ujenzi wa mabweni,n.k. Haya ni lini mlimckia ana kashfa??????? Ulizeni watu wanaomjua sio kujiandikia. Ww unaeandika hapa utumbo wala hamuwezi kukaa nae meza moja huyu dada. Hata dada zenu hawajafikia uwezo wa akili,heshima ya huyu dada. Kama nyie ni watu wazuri,je dada zenu kweli wana sifa nzuri zaidi ya huyu?? Wengi ni wanafiki sana humu. Anzeni na dada zenu kwanza,kama hujakuta ni dadapoa!! Unajua amesoma chuo kikuu wapi? Na alipata nn??? Dada zenu wanamfikia???

    ReplyDelete
    Replies
    1. don't take it toooo personal...hivi unaexpect watu wamjue faraja in and out? people will always comment negative am sure hata wewe ushawahi kujudge watu wrongly...chillax, hizi ni comment za wafa maji tu..

      Delete
  9. So tukusaidie nn ? Ww ndiye kikarsgos wake? Ww ulikuwa wa ngapi darasan kenge

    ReplyDelete
  10. hawa madada zetu hawa2ni vijana anaolewa na baba yake dunia imekwisha

    ReplyDelete
  11. Waziri katika bunge! Ninachojua ni Waziri katika serikali. Rekebisheni hiyo heading

    ReplyDelete
    Replies
    1. anajiandikiaga tu jamn asamehewe bure saingine wakuta michapio kibaoo

      Delete
  12. asa wewe unaanza kutwambia alikuwa kichwa wajuaje ka ni nyarandu alianza mapema kumvujishia pepa afu kuwa wa kwanza haimaanishi ki2 katika maisha halisi pili mambo ya chuo alisoma wap haisaidii 2naongelea kuolewa na mzee

    ReplyDelete
  13. Faraja Ujui kudress!!! Tupa kuleeeeeee!

    ReplyDelete
  14. nyie mnaijua historia ya huyu Nyalandu?

    ReplyDelete
  15. pesa ndo kila ki2 bhanaa na hv amekuwa waziri mmmmh

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwahiyo kama kawa waziri amuache mume wake? Watanzania mna gundu si bure. Hamjui wametoka wapi mnadandia treni kwa mbele ngoja mzae mabehewa.

      Delete
  16. Kwenye mapenzi hayakuwekwa viwango, ispokuwa watu hupenda kwenda na umli sawa. zamani watu walikua na mapenzi ya kweli kwa sababu waliwaza kula, ngono, na kuzaa tu hawakuwaza kitu kingine. lakin leo watu wanahitaji kunufaika na mapenzi, kile anachofikili ni kizuli maishani mwake. zamani binti akiwa mzuri nae anaona sifa kuona anapendwa na kufanya ngono tu, leo hii binti akiwa mzuri au staa anataka anufaike na uzuri wake. sasa swara linakuja vijana bado uwezo wa kifedha shida uwezo walionao ni kuchapa kazi (ngono) hao wadada wafanyeje,? wagongeshwe na waendelee kutoka vumbi jasho wakilinda penzi na vijana? au watafute sehemu yenye ubalidi na wapake mafuta wanayopenda? na kama inawauma vijana tafuteni pesa maana nanyi mtazeeka ili mpate kuzitumia wakati ukifika, na hata wakiwapenda bado kama huna kitu utanyang'nywa na kijana anaejishughulisha, kumbuka kuna vijana ambao hawana kitu nao hawapendwi, wanachopenda hawapati bali hupata kisicho chaguo lake...............fahamu kijana ataibiwa na mzee, na mzee ataibiwa na kijana. ni kazi kubwa. [waacheni wapete ndivyo walivyochagua] jiulize wewe upo kundi lipi.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad