Mwenzetu nimekoma kuchungulia simu ya mpenzi wangu, Maana nimekuta message moja mpaka sasa nafikiria najiona kama mimi sijui mapenzi ....na nikizubaa ntaibiwa Gal wangu ..ki ukweli sijawahi mtumia msg tamu mpenzi wangu huyo kama hiyo na sina uwezo wa kutunga msg yenye mvuto...Nahisi ntaibiwa na wajuzi wa Mapenzi
Meseji yenyewe hii hapa chini:
"Ki ukweli Mpenzi , Nakupenda kutoka rohoni na nimevutiwa na wewe kiasi kwamba natamani unipe moyo wako uwe wangu niutunze mpaka siku ya mwisho wetu, Nakuona kama furaha ya maisha yangu toka tuonane ewe malkia, Naomba usiniangushe naona matumaini ya penzi kwako, Nakuhaidi kukupa furaha katika kipindi chote tutakachokuwa pamoja huta juta kuwa na mimi, Nahitaji uwepo wako katika dimbwi hili la Mapenzi"
Mwee Nifanyaje? ..Nimeuchuna sijamwambia kitu ila Roho inaniuma
copy na ww umpestie teh teh teh
ReplyDeleteUwiiii usishke tena simu elewa simu ya mwanaume haishikwi ni presha tu unapata huko
ReplyDeleteWewe msenge kweli, unadhani mapenzi ni kumwandikia mashairi mpnz wako? mapenzi ya ukweli ni vitendo basi, mpende mwenzio na ajue unampenda na mwambie hivo, mtosheleze kitandani mpaka aishiwe hamu kabisa sio wewe ukimaluza basi unajiona kidume, mwisho msaidie shida zake kadiri ya uwezo wako, nasema kadiri kwa maana usiigize life ambayo huiwezi.halafu kuwa muwazi kwa kila kitu akujue vizuri who u r. Ukifanya hivyo hakuna mtunzi wa ngonjera atasikilizwa hata kama anajya kusoma utenzi kiasi gani, wanawake wanapenda mtu anajiamini, anajali, mkweli na anaemtosheleza kitandani basi, sio ngonjera.
ReplyDeleteMhh makubwa, ila ngonjera hutamanisha madem wengi hilo la kutandani Ni stage ya 2
ReplyDeletewewe bwege kweli ulifikili uko peke yako? ukitaka ya kumiliki yako kachonge kiwandani.
ReplyDeleteAchana na simu utaumia kaka mwanamke ni UA popote anachanua cha msingi mwonyeshe mapenzi ya kweli
ReplyDeleteFira huyo
ReplyDeleteJamani naombeni msaada wadau mpz wangu jana kaona mag nachart narafikiyangu wa kiume ambaye ni kijana tuliwahi fanya nae kazi;huyo kaka alinisalimia na akanitumia picha ya vinywaji akaniambia karibu nikamuuliza uko wapi akaniambia yupo gheto kwa rafikiyake basimm nikamwambia siwezi kwa sababu nipo na mpz wangu baada ya hapo akaniambia poa hakuna shida.coz ananichukulia kama dada yake na mm km kk yanguna sijawahi kumvunjia heshima.baada ya hapo mpz wangu akashika cm yangu akaanza kunitukana na kuniita malaya akampigia cm mama yake akamwambia mama yake maandalizi ya mahari na haruc yasitishwe.nikampigia yule kaka aliyenitumia msg akaniambia ananiheshimu sn na yupo na demu wake tusizoeane na akagusia akasema mwambie mwanaume wako ajiamini na aache uboya kwani alinikuta bikra.basi jamaa kuona hiyo msg ndio akazidikunipiga nifanyeje naombeni ushauri.
ReplyDeleteunapigwa na ndoa bado?!!!..makubwa...ukiingia je?
Deleteachana nae
Delete4:06 AM.... Muahidi tigo atarudi!
ReplyDeleteKweli kwa jicho ataendelea kukupenda na hatomwambia kamwe mamake!
ReplyDeleteHiyo meseji ulioona kwenye simu ya mpenzi wako wala usiamaki ukaona huyo mwanaume mjuzi wa lugha za mapenzi ni UWONGO kakopi kwenye magazeti y GPL ata wewe ukitaka nunua hayo magazeti utakopi humo then uta send kwa swt wako na haswa GAZETI la ijumaa na siyo ijumaa week end linalotoka jumatatu, ucpate kihoro meseji zipo Za kumwaga unasoma mpaka unapata NYEGE.
ReplyDeleteKWA HIYO WEWE UNASOMA HILO GAZETI ILI UPATE NYEGE?
DeleteWote mikundu mnatiwa na baba zenu.kawapeni wao mikundu yenu kuma la mama zenu zinanuka shahawa
ReplyDeleteYa Mama Yako Je Hainuki Shahawa?
ReplyDeleteLooh
ReplyDeleteNgonjera mashairi ni kabla hujampata ukishampata ni ujuzi kitandani ndio utakufanya uheshimike/upendwe hata kama pochi ya kusuasua.....
ReplyDeleteshosti hapo juu pole saana,huyo mwanaume ni mkatili kwel lipi baya ulilofanya akulipe huo udhalilishaji wa mpk kumpigia mama yake?dah nakuonea huruma ila kama wako atajirud tu.Asipojirud let him go jipe moyo kuwa he was not yours.Wako atakuja tu.Jipe moyo
ReplyDelete