Katiba ni mwafaka wa kitaifa. Kitendo cha CCM kuweka msimamo wa Serikali mbili kwenye muundo wa Muungano kinaua kabisa maana ya kuwepo na mjadala. 'Caucus' za vyama kwenye kazi nyeti kama ya kuandika katiba ya nchi iwe marufuku. Kuna kundi lina lengo la kuzuia katiba Mpya kupatikana. Kwa vyovyote vile lazima tuwashinde wapinga mabadiliko hawa kwa kuunganisha nguvu za wananchi. Tusirudi nyuma
"Forward ever, Backward never" - Nkrumah
Zitto pole sana kwa yaliyokukuta,jana nilikuona kwa karibu umekonda sana,kimebaki kichwa tu,kulikoni?
ReplyDeletekwani zitto ndo nani tena. hivi jamani watanzania hatusahahu siku hizi.tumeanza lini hii tabia???
ReplyDeletesikuzote,katika jambo lolote kimaisha, unavuna unachopanda. hata hivyo ni mambo ya kisiasa tu. sasa ni rahisi kwa yeye kujua nani alikuwa rafiki yake na nani mnafiki. nani msema kweli nani mpambe?
ReplyDelete