MWEE ETI MIMBA YA LINAH YACHOROPOKA

SIKU chache baada ya kuripotiwa kuwa, msanii wa Bongo Fleva, Astelinah Sanga ‘Linah’ amenasa ujauzito wa mdosi aitwaye Nagar, Amani limenyetishiwa kuwa ujauzito huo umechoropoka.

Kwa mujibu wa chanzo, ujauzito huo umechoropoka hivi karibuni na kumfanya  Linah kukosa raha kwa kuwa ndoto yake ilikuwa kupata mtoto.

“Ni kweli Linah alikuwa na ujauzito lakini umetoka na amesikitika sana kwani mdosi wake ni mtu mwenye fedha nyingi na yeye alitamani sana kuwa na mtoto,” kilisema chanzo hicho.

Gazeti hili lilimtafuta Linah  kupitia simu yake ya kiganjani ili kupata ukweli wa kutoka kwa ujauzito huo lakini baada ya mwindishi wetu kujitambulisha, staa huyo alikata simu.

Wiki iliyopita gazeti dada na hili, Risasi Mchanganyiko la Februari 19-21, mwaka huu liliandika habari za staa huyo kunasa  ujauzito  wa mdosi huyo na alipoulizwa alisema habari hizo zilikuwa ni uzushi.

“Nani kakwambia kwamba nina  mimba? Hayo ni maneno ya watu, wanasambaza mitaani sijui hata wameyatoa wapi lakini miye sina mimba,” alisema Linah na kunukuliwa na gazeti hilo ambalo hutoka mtaani kila siku ya Jumatano likiwa na habari motomoto za masupastaa.
Credits:GPL

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyie waandishi wa habari mmemwangia sana kwa mtoto wa watu, sasa mmefurahi?

    ReplyDelete
  2. malaya tuu huyoooo hakua na mimbaa anatiwa sanaaa

    ReplyDelete
  3. malaya tuu huyoooo anatiwaaa ovyooooo

    ReplyDelete
  4. Huwezi kuwa na mimba halafu mtu akutia matakoni wewe umenyaza husemi kama anakuharibu mimba.

    ReplyDelete
  5. kwa hiyo ndo kusema alifirwa ndo mimba ikatoka? au ulifirwa ww ukamsingizia linar?

    ReplyDelete
  6. kwa hiyo ndo kusema alifirwa ndo mimba ikatoka? au ulifirwa ww ukamsingizia linar?

    ReplyDelete
  7. Linah ni bonge moja ya kifaa! tukia mtoto.

    ReplyDelete
  8. haaa wanatuchosha kilamsaniii omalamimbaimetoka kwnn hamzainyiezinatokatu aumnazitoa kuhofia soko lenukuymba.

    ReplyDelete
  9. Hapa mi nahisi tatizo lipo kwa ninyi waandishi, kwanini msiwaulize wahusika vizuri kabla ya kuandika habari zao, kuweni makini mnatuboa wasomaji wenu!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad