MWEE...WADAU HIVI ZILE SHULE ZA VIPAJI MAALUMU BADO ZIPO ?
9
February 25, 2014
Enzi mie nasoma palikuwa na shule za vipaji maalumu yaani tulikuwa tunasoma ili tuingie shule kama Tabora Boys,Mzumbe,Kibaha,Ilboru na Kilakala enzi izo zilikuwa ni shule maalumu kwa wanafunzi wenye akili ..aka vipaji maalumu .....na kweli yaani zilikuwa zinafaulisha balaaa....lakini siku hizi nasikia tu Marian Boys/Girls Sijui St nini mara Feza eti ndio zinaongoza kwa ufaulishaji , sasa swali langu je izo shule za vipaji maalumu bado zipo ??
Tags
zitoke wapi na siku hizi ukiwa na hela mwanao anasoma kipaji maalum chezea bongo elimu ndo inazidi kushuka na dv 5
ReplyDeletezpo tu majina hamna kitu tena
ReplyDeleteZmebak kwenye midomon2
ReplyDeleteZitoke wap cku hiz hela ndo imegeuka kipaji
ReplyDeletewanafunz wanaoenda ktk shule hizo wanavipaj.Larkin mazingra ya shale hizo yanaua vpaj vyao
DeleteWote hao unawaona wanasoma shule hizi ni kwamba wazazi wao vipato vyao sio vya halali na mfumo huu tumeukubali.Tumeshajenga nchi ambayo haina maadili hata wale waliokuwa ni wasaidizi wa mwalimu walitegemewa kuwa wataendeleza haki na usawa kumbe wao ndio mafisadi wakubwa.Haiwezekani mtu ana wake watatu na ndugu 20 anaowasomesha kwenye shule kama hizi na analipwa mshahara toka serikalini au chama na pesa zikatosha,lazima kuna namna.
ReplyDeleteSiku hizi yamebaki majina tu hapa bongo pesa tu ndio inayotamba.
ReplyDeleteSIKU HIZI, WALIMU TU, WAMEKOSA UAMKO, WANADHARAULIWA KUPITA KIASI, ATAPATA WAP MOYO WA KUFUNDISHA KIKAMILIFU?
ReplyDeleteKweli kabisa, hata hizo zinazofaulisha angalia idadi ya wanafunzi. Eti unalingaliza shule yenye wanafunzi 150 Div one 40 na shule yenye wanafunzi 30, Div one 29 Div two 1 eti ndo imeshika nafasi ya kwanza au ya pili Kitaifa. Bila kujua kuwa wale nanachukuwa wale wepesi kushika tuu.
ReplyDelete