NAPANDAGA GARI YA HUYU DADA MARA NYINGI, ILA NGUO ANAZOVAAGA HUNIFANYA NIMUWAZE YEYE SIKU NZIMA
19
February 01, 2014
Tunaishi wote mtaani hivyo mara nyingi tu hunipaga lift nikiwa labda natoka kazini au nikiwa naelekea kazini, wakati mwingine akiwa mjini hunipigia simu ili turudi wote mtaani ila niko na wakati mgumu sana huyu dada mrembo sana yani siwezi kuelezea hapa mkanielewa , nguo anazovaaga akiwa anaendesha ni za hatari sana yani hunifanya nimuwaze yeye tu siku nzima, sijui kwakweli nifanyaje wakati mwengine natamani hata nipenyeze mkono hata ni mguse tu lakini naogopa labda msaada wa lift unaweza kuishia hapo kama unavyojua usafiri ni mgumu sana hapa mjini. Naombeni ushauri wadau..!!
Tags
Acha uduanzi funguka kwani lift ki2 gani!
ReplyDeleteMwambie ukweli zali la mentali hilo, we vunga tu ipo siku ataacha kukupa lifti kwa7bu ya udomo zege wako.
ReplyDeleteUmeongea point
DeleteHii inaonyesha weakness yako kubwa ktk sehemu ziguatazo,
ReplyDelete- approach, ni vipi ushindwe kumweleza km unamuhitaji.
-uvumilivu, wengi watakuonyesha mapaja, na kukukalia uchi lkn haina maana lazima umtongoze or sio kwamba kwakuvaa kwake anakuhitaji.kumbuka hayo mapaja unayoyaona kwa saa hiyo moja kuna wanae fanya kazi nae wanashinda nayo kutwa.
Wewe ni mkware kuliko hata kikwet
ReplyDeleteWe ni mpuuzi!kwa hyo unafikiri anavaa hizo nguo kwa ajili yko??
ReplyDeleteUsipande tena hyo lift kama ushajijua we ni penda penda!
ReplyDeleteKuna maradhi.nenda upate ukimwi.uzinifu haisadii kitu.muogope mungu.utakufa buree baba.kwa kupenda bure.
ReplyDeleteJamani Mbona wengine mnamshambulia si ameomba ushauri
ReplyDeleteHata mimi nawashangaa, mtu kaomba ushauri halafu wanaishia kumtukana. Duh watu bwana.
DeleteNo comment,,
ReplyDeleteFunguka Mkuu. Mtemee madini ubebe mzigo
ReplyDeletekama huwezi kumweleza ukweli, ka vipi achana na lift
ReplyDeletehyo itakujeruhi, ila kama ujasir upo wa kumchana live chana make hyo ni nyama haina shamba, utalima wap nyabe*?
Mwambie hw unajifil juu yke...
ReplyDeletePenda penda ovyo utaishia kwenye udongo,
ReplyDeletemapenzi ya matamanio sio ya kweli...apo udenda unakutoka ukimpata na kmzoea utaona kawaida...lift kitu gani...inaweza ikakuponza ukapata na liugonjwa buree...tafakari..
ReplyDeleteMtombe tu.
ReplyDelete..........za kuambiwa ongeza na zako..........utakuta mwana si wako.
ReplyDeleteMhm,2lia jombaa town apa!
ReplyDelete