Chama ca Mapinduzi (CCM) kimewashukuru watanzania kwa kukiamini na kukipatia ushindi katika uchaguzi mdogo wa udiwani uliofanyika katika kata 27 na kushinda kata 23.
Kimesema siri ya kuimwaga CHADEMA ni uadilifu katika kuwatumikia wananchi na kwamba kushindwa kwa chama hicho ni ushahidi tosha kwamba hakikubaliki na Watanzania.
Katibu wa NEC ya CCM, Itkadi na Uenezi, Nape Nauye, amesema hayo na kuongeza kuwa matokeo hayo ni ushindi kwamba CCM inakubalika zaidi na Watanzania wengi.
Akizunguma kushindwa kwa CHADEMA, amesema wamehukumiwa kutokana na vurugu za kupiga watu kwenye kampeni za uchaguzi ndiyo maana wametumia gharama kubwa na helkopta tatu na kuambulia kata tatu.
“Watanzania hawapendi vurugu wamezoea Amani na utulivu sasa wamewaadhibu kwa kuwanyima kura na huo ni ushahidi kwamba Watanzania hawakiamini chama hicho,” amesema.
Katika uchaguzi huo CCM ilishinda katika kata 23 za Kibinduna Magomeni (Pwani), Kiwalala na Namikage (Lindi), Ubwage (Shinyanga), Ibumu na Nduli (Iringa), Kiomoni na Mtae (Tanga), Nyasura (Mara), Malindo na santillya (Mbeya). Zingine ni Partimbo (Manyara), Mkwiti ( Mtwara), Tungi na Ludewa (Morogoro) na Mrijo ( Dodoma).
Source, Uhuru
nyie mnajua wenyewe kwamba mkiliboresha tu daftari la wapiga kura, halafu vijana wengi wakapata nafasi ya kupiga kura ndiyo itakuwa mwisho wenu, ni vijana wachache sana tena waliosoma shule za kata ndiyo wanawakubali nyie ccm!!! ukweli ndiyo huo, mpende msipende bwana mdomo nape!!
ReplyDeleteWanatumia hadi kadi za watu waliokufa.
ReplyDeleteWanatumia hadi kadi za watu waliokufa.
ReplyDeleteWanatumia hadi kadi za watu waliokufa.
ReplyDeletekila mbinu chafu za dunia hii, ilimradi washinde waendelee kula!!! mwisho wake upo lakini, Mungu ibariki Tanzania.
ReplyDeleteCcm oyeeeeeeeeee
ReplyDeleteChadema haya mmeyataka wenyewe,hakuna anayetaka vurugu,nyie kila siku fujo tu.
ReplyDeleteNape,chama chenu ni cha kisultani.Sisi watoto wa masikini hatafai kabisa.Juzi mtoto wa marehemu mgimwa kapitishwa na CCM kumrithi baba yake jimbo la kalenga.Bunge litakuwa la watoto na wajukuu wa viongozi wa CCM kama Mwinyi,Kikwete,Makamba,kawawa n.k
ReplyDeletenape gombea tukupe kura ubungo, chadema ni mzigo wa vurugu kwa taifa
ReplyDeletewadanganyika tunakumbatia amani huku tunakaa na njaaa loh!! amani my foot
ReplyDeleteCdm ni wahuni
ReplyDeleteHahahaaaa nimefurah kweli yani chadomo hamna jipya, hiyo haina ubishi kwamba 2015 ccm itaendelea kuongoza nchi, ni mimi jacky mtoto wa Atown
ReplyDeleteunawaona watoto wamafisadi wanavyoshangilia humu!!! mnamwisho wenu nyie!!!
ReplyDeletekama kawaida yenu, mnaona hizi hela za uma ni zenu ndiyo maana mnamshauri nape akagombee ubungo, ili atumie pesa za wananchi bure!! Ubungo ni ya MHs MNYIKA tuuuu, kama ilivyokuwa Atown, kwa GODBLEEESSSSS LEEEEMMMMMAAAAA!! mtalia tu.
ReplyDeleteSasa ndo mfanye mambo kuma nyinyi sio mnapenda tu kupigiwa halafu halafu ajira mnarithishana...kumamae zenu
ReplyDeleteKuna kitu kinaitwa cyber crimes kinakuja soon Tanzania pale ministry of home affairs.ndugu zangu wa Tanzania tujiadhari na uhuru huu wa habari tulionao.lugha chafu zina madhara yake.kushtakiwa na hata kufungwa au kupigwa fine.nawakilisha tu
ReplyDeletemi nasema live cdm wamejivurugia wenyewe na vurugu zao
ReplyDeleteukiangalia kwa makini Chadema hata hawakuwa serious na huu uchaguzi, ile operation yao ya Daima Pamoja, ilikuwa ya kuimarisha chama tu, Chadema inajua kama daftari la wapiga kura halitaboreshwa, basi hao maccm yatakuwa yanashinda kila siku zile sehemu dhaifu, ndiyo maana Mhs Mbowe na wote wanalipigia debe daftari la wapiga kura liboreshwe, sasa hivi vijana wengi wanashindwa kupiga kura kwa sababu mbalimbali zisizokuwa za msingi kutokana na hilo daftari, vijana, wanavyou wakipata nafasi ya kupiga kura, ndiyo itakuwa mwisho kwa maccm!!!
ReplyDeletekumbuka 2015 Sio mbali Nape, na safari hii hatutaki kanga, tishet wala kofia, Mungu ibariki chadema ili isiwe mzigo kwa Taifa la Nape
ReplyDelete