NYALANDU AMTIMUA MKURUGENZI WA IDARA YA WANYAMA PORI

Waziri wa Maliasili na Utalii, lazaro Nyalandu, amemtimua Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori, Profesa Songorwa; kwa utendaji kazi mbovu na kushindwa kudhibiti vitendo vya ujangili. Amekaa kwenye nafasi hiyo kwa muda usiozidi mwaka mmoja akiwa amechukua nafasi ya Obeid Mbangwa. Hii Wizara ni mwiba wenye sumu!
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Namfahamu songorwa amenifundisha SUA, ni mtu mchapa kazi na mwaminifu na hata alipochaguliwa he was not happy sababu alijua hiyo idara ni kasheshe na imejaa wanafiki. Chuo kilisikitka maana ndio aliyekuwa mkuu wa department ya wildlife kwa miaka mingi na ana experience ya kutosha ya kufanya kazi za wanyama pori. Lakini idara yetu hii wanaokuwa makini wanatolewa na wasiofanya kazi wanaachwa. Serikali inachosha iasee.

    ReplyDelete
  2. Muongo Nyalandu amewafukuza Prof. Songorwa na mwenzie ili aendeleze ujangili kwani anaogopa sababu wasingeweza kukubaliana na upuuzi wake. Watanzania tunajuwa kuwa Nyarandu ni JANGILI tena la kutupwa. Huwezi kutudanganya tunakujuwa na dunia nzima inajuwa na macho ya dunia nzima inawamulika kwa sasa. Ila utambuwe malipo ni hapa hapa duniani.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hana lolote anataka kuweka watu wa mtandao wake anajua waliopo sasa hawawezi kukubaliana nae anavyotaka na wewe unamtandao asiyekujua nani labda rais peke yake ndo hajui njama zako na do maana kakuchagua lkn angejua asingethubutu kumchukua simba kumuweka katika zizi la mbuzi ila the end of the day itajulikana tu na kila kitu kitakuwa hadharan kama mahita na wenzie kina zumo shwain wewe nyalandu unless othewise ubadilike

      Delete
  3. sense same akafie mbele

    ReplyDelete
  4. huyu nyalandu ni mtu feki sana, watu hawamjui tu

    ReplyDelete
  5. ndugu wadau hata mie nimesikitika sana kwa kitendo cha pro, songorwa kutolewa katika nafasi hiyo,kwa ufupi mie namfahamu mno huyu bwaa ni mkweli na mchapa kazi.hii ya kusema hameshindwa kuwajibika si kweli unajua huyu bwana alishawahi kuwa wizara hiyo kwa cheo kamanda mkuu waaskari wa wanyama pori tz miaka ya nyuma na wizara hiyo anaijua vizuri.nami nakubaliana na mdau aliyesema kuwa nyalandu ni mwizi na kuwa pro songorwa ni mtu wamisimamo ndiyo maana amemtoa ili njia iwe nyeupe kwa kufanya ujangili.na songorwa ni mcha Mungu ndiyo maana amepata ugumu wa kazi basi wamalizeni tembo wote.hata huyu aliyepewa ukaimu nae ni mnafiki tu kwa kuwa anakula na nyalandu. nyalandu mwoogope Mungu kitendo ulichomfanyia songorwa ni cha kinyama na ushenzi.Mungu mubariki pro songorwa na muepushe na majaribio ya shetani .AMEN.

    ReplyDelete
  6. mh.nyalandu na dj selakiya mumemzunguka pro songorwa mbona mlivyokuwa mnafanya vikao mlikuwa hamumuushi mkurugenzi? hiyo ni mizengwe ningekuwa mimi ni pro nisingekubali ningekomaa nanyi.kwanza mumemwalibia cv yake ambayo ilikuwa haina doa. Ebu tendeni haki sio kupangana kwenye nafasi kwa sababu ya maslai yenu ,pia kumbukeni kuna wakati utafika mtarudisha kila kitu.sasa hivi uuzeni hadi chochote lakini kuna wakati......

    ReplyDelete
  7. niliwahi kuionya serikali yetu kuwa wawachunguze wachina sio wakweli hao wanaochimba gas \waojenga mabarabara ndiyo wanaoua tembo,kwa sababu soko la maneno ya tembo 75% liko china.

    ReplyDelete
  8. Songorwa ni mtu feki sana namjua tangu SUA ana ukabila, ubaguzi, upendeleo na hata ukimtizama usoni ni mtu wa visa, visasi na chuki. Kweli mtu hawezi kukimbia mzimu wake wa mabaya. Na mbya zaidi anajifanya ameokoka, huku akiwaangalia kwa jicho la husuda wale wanafunzi walio na wapenzi wao darasani enzi hizo za SUA. Ni mshenzzzzyy sana Songorwa. Hongera Nyalandu hizo ni mboni za kinabii. Same wakati ule akiwa maliasili ni kwa mambo kama haya haya walimtimua na akaja SUA sasa hata second chance Songorwa amepoteza na sasa ni lala salama. No more chance rudi kijijini ukabaguane na wakurya wenzako muta.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad