PICHA:RAIS KIKWETE AKIWAKABIDHI KADI WALE WASANII WA BONGO MOVIES NA BONGO FLAVA WALIOINGIA CCM
9
February 03, 2014
B akizungumza machace kwa niaba ya wenzake mara baada ya kutamka kuwa wamejiunga na chama cha CCM.
Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wasanii mahiri wa Filamu hapa nchini,mara baada ya kuwakabidhi kadi za kujiunga na chama cha CCM jioni ya leo.
Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi zawadi ya gitaa Msanii maarufu wa jijini Mbeya,Petrol Abel a.k.a Awil,anaeshuhudia ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana na Katibu wa Uchumi na Fedha,Bi.Zakia Meghji.
Tags
Na mtaibiwa sana nyie makafiri, wewe dunia hii unashibikia ccm, really?
ReplyDeletekafiri babako. Cuf koko wewe
ReplyDeleteCuf koko mkundu wako usio chambwa hanisi mkubwa wewez!!
ReplyDeleteLowasa hoyeeeee!!
ReplyDeleteBila CCM Tutayumba
ReplyDeletehongera sana abel umechagua vyema,achana na chadomo wameanza kupoteza uelekeo angan ipo siku watapotelea mawinguni na chopa.
ReplyDeleteCcm ni sawa na debe la mavi!
ReplyDeleteKama wasanii wanahaki ya kuchagua chama wanachokipenda,lakini kwa jinsi walivyokwenda inanipa wasiwasi kusema wamechagua wenyewe, there must be mkono wa fedha kumvuta m2 ili hali wamejua wanamvuto wa kukifanya chama kipendwe na vijana tena, kumbka ridhiwan ni mdau mkubwa bongo movie, si wachagulii chama lakin tunaua tasinia ya bongo movie, aende mmoja mmoja, kwa style usishangae kesho wanasoka wanajiunga kwenye vyama, tutaua tasinia zetu
ReplyDeleteUtajibeba iwe ridhiwani mdau wa bongo movie au Zito mdau wa lakedigital alal in all mbuzi ana kula kwa uefu wa kamba yake,kama kuna ulaji wa ache waende wakale Sugu na Afande Sele wameingia Chadema hakuna aliyesema,ila hao wa bongo movie roho zimewatako povu lina mwagika midomoni,hakuna siasa bongo watu wapo kwa ajili ya maslahi sio chadema wala ccm wote sawa tu wizi mtupu.
ReplyDelete