RAIS KIKWETE:MBOWE ANAKOSA UWEZO, JAMBO LA WENGI HALITAAMULIWA KWA NGUMI

Rais Kikwete: Mbowe anakosa uwezo, jambo la wengi halitaamuliwa kwa ngumi
Rais Jakaya Kikwete katika maadhimisho ya miaka 37 ya CCM alimwambia Mheshimiwa Mbowe kuwa nashanganzwa na kauli yake kwamba isipopatikana Serikali tatu atapambana kwa ngumi na mateke mpaka ipatikane.

“uliona wapi jambo la wengi likiamuliwa kwa ngumi?” aliendelea Kikwete kwa kusema “hakuna katiba ya nchi dunia iliyopatikana kwa kutumia ngumi na hata Mbowe akiamua kupigana sina hakika kama atamshinda John Komba au Mheshimiwa Mnyika kumpiga Mheshimiwa Missanga”.

Bunge la katiba ndilo litakalopitisha aina ya katiba tunayoitaka kwa niaba yetu na lina uwezo wa hata kuja na rasimu ya katika yao tofauti kabisa na ya sasa na ikawa halali.

Alimalizia kwa kusema “katiba mpya ikikwama tutaendelea na katiba ya sasa”.

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mheshimiwa raisi msamehe bure, shule ndogo mwenzako..

    ReplyDelete
  2. We fala wa 5:29 am hata Rais hujui kuindika!ndo utaweza kuhoji alichosema Mbowe??bwege ww

    ReplyDelete
    Replies
    1. tena fala sio kidogo! Kichwa kama pumbu

      Delete
  3. Na ilo bowe cjui ndo jidude gani linavoitwa bowe cjui atasilitambuwi linaakili timamu lakini ilo jidude mana mie wavisiwani nasikia tu bowe bowe

    ReplyDelete
  4. Hapo sasa ndipo anapokosea mbowe swala la katiba nimakubaliono pande zote inamaana wakikataa wengi ayawapiga? Acha vitisho tofautisha chadema na Tanzania, Tanzania co nchi insyoundwa na watu wanne kama ilivyo chadema. Namuache kudanganya wananchi. Izo zote ni njaa

    ReplyDelete
  5. Nimemsikia vzr Mh kikwete,hayo mengine ckushtuka sana nilichoshtuka ni pale aliposema Bunge la katiba linaweza hata kubadili rasimu iliyopo nikajouliza kama ndivyo ilivyo kullikuwa na haja gani kuunda tume na kwenda kukusanya maoni na kutumia gharama kubwa hivyo halafu maoni ya wananchi hayapewi uzito?Bora angeunda moja kwa moja Bunge la katiba kuliko kutuundia tume kama kiini macho wakati anajua maoni yao yanaweza yakatupwa kama yako kinyume na matakwa yao.

    ReplyDelete
    Replies
    1. I really salute you,you are great thinker indeed.

      Delete
  6. Yeye anajua unene ndio kujua kupigana?huyo Komba anaweza kupatiwa timing akakatwa mtama na asiinuke,au misanga,ngumi ni mbinu c ukubwa wa mwili

    ReplyDelete
  7. wewe anobymous 6:59am uwezo wako wakufikiri ni mdogo aliposema kupigana ngumi sio ngumi kama unavyofikili hiyo nilugha ya picha tu

    ReplyDelete
  8. Kumbe Anonymous tunaweza kuchangia bila kutukana? Au kwasababu ya baba yetu?wadau tufike mahali tubadilike

    ReplyDelete
  9. Chadema wote ni k..m tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata mama yako anayo ku.....m.a kubwa kama ya chadems

      Delete
  10. Tatizo la Tanzania ni akili ndogo(ccm) kujaribu kuongoza akili kubwa(chadema).

    ReplyDelete
  11. yaani watu wanapenda chadema,hata mboye akisema wafuasi wa chadema vueni nguo niwa... mtavua just because mnaona ni akili kubwa,na wendawazimu wengine wamechukua card za chadema wanasema wataruhusu bangi,kweli hicho chama hakina mwenyewe

    ReplyDelete
  12. chadema ni shiiiidaaaaa

    ReplyDelete
  13. Chadema hakuna kitu,vita na zito vinawapoteza mnaonyesha dhahiri udugu wa chagalism, mnapiga chava against mwisho wa lámi weee ,msahau kuongoza nchi 2015'mnazingua.vita vya wenyewe Kwa wenyewe,umeona wap mambo ha chumbani au siri ya nyumbani ikaongelewa nje?chadema ni kama Nyumba ha famili moja ila haiwakubali watoto wa nje wanaoonekana kuwa na nguvu ndani ya Nyumba.miaka yote nyie nyie tu,mbowe,slaa Hakuná wengine?wenye matumaini na chadema mnatuvunja moyo,bora tuongozwe na wenye akili ndogo lákin wamejipanga.hata kama wanatupiga ila no ukabila,ccm tumain la watanzania.kipofu kaona mwezi.msichukie tu'nyota yangu ya punda kila síku kubeba mizigo.

    ReplyDelete
  14. Mafanikio ya watanzania yataletwa na mtanzania mwenyewe.juhudi zamo ,maarifa yako na akili ya ziada ndio mkombozi wako.tusiamin sana viongozi wetú wao wapo tu kuangalia maslahi yao Kwa familia zao so kila Mtu asiweke mia mia Kwa viongozi,kiongozi ni mtumishi Kwa wananchi wake ila viongozi hawatutumikii wanatumikia familia zao,bora ningekuwa dictekta na mzalendo pékee kama mwalimu ambaye alijali na i kutumikia wananchi wake kuliko kujilimbikizia mali kama viongozi wa sasa.tutafika tu lakin

    ReplyDelete
  15. Mpaka Chadema waingoe CCM madarakani wanakazi ya ziada mkubali mu ungano wa vyama vyote vya upinzani na asiwepo,mbowe,silaha wala lipumba katika uongozi maana wote wana uchu wa madaraka,yani Chadema kuingia white house mwakani haipo mtukane,msonye Sijali habari ndio hiyo labda silaha arudi kwenye upadri alioucha na Mbowe aendelee na biashara zake wawekwe watu wapya,,,,

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad