Baada ya msanii wa Candy n Candy, Baby Madaha kufunguka akimchana wazi msanii mwenzake wa kike, Shilole aka Shishi Bybee kwa kudai kuwa nyimbo zake haziwezi kulinganishwa na nyimbo anazofanya Shilole, Shilole nae kakikalia kiti kile kile na kuyajibu makavu hayo.
Shilole amedai kuwa hawezi kupoteza muda kumzungumzia Baby Madaha, na kwamba yeye anaamini hana tatizo naye lakini anashangaa kuona anamzungumzia.
Udaku Specially
“Ni kama Baby Madaha anavyonizungumzia mimi, mmekua mkiona na wengine mliumia mkasema sana kwa nini ananizungumzia mimi. Baby Madaha sina tatizo naye lakini nashangaa amekuwa mtu wa kunizungumzia everyday, I don’t know why.” Amesema Baby Madaha.
Mkali huyo aliamua kumpa ushauri Baby Madaha kwa kile alichokiita kumsema yeye vibaya ni kupoteza muda wake.
“Wewe mwanamke, mimi mwanamke mwenzio nafanya kazi, umeshaniona hata siku moja naenda kukuzungumzia somewhere? Muogope Mungu kukaa unamzungumzia mtu ambaye hana time, hana shida na wewe. Hebu tubadilike wanawake tupendane tuache kuzumziana vibaya.” Shilole ameeleza.
“Kwani ukinizungumzia mimi vizuri utapata nini, najua kuna vitu vingi nimekuzidi lakini usikae unamzungumzia vibaya. Wanawake tupendane tupeane sapoti. Ndio maana hatufiki mahali tunabaki tu kulalamika ‘ooh nimerogwa’, hujarogwa umejiroga mwenyewe.” Shilole anakaririwa.
Chanzo: Channel 10
SHILOLE AYAZUNGUMZIA MAKAVU LIVE ALIYOPEWA NA BABY MADAHA.
12
February 08, 2014
Tags
Baby madaha nae anarukaruka km maharage yanayochemka, kila mtu anatengeneza nae bifu. Fanya kz baby watu wakujue kwa nyimbo nzuri na co mabifu na wenzio. Acha roho mbaya aliyepewa kapewa
ReplyDeleteShilole we mpuuzie huyo changu,mziki wenyewe anaforce tu hawez kuimba kz kutafuta umaarufu kwa migongo ya wenzie,kazi inayomfaa ni ya uchangu tu,achana nae
ReplyDeletekumanina zenu mtakuwa mumetobwa na mboo moja shenzi wote
ReplyDeleteivi baby madaha yy ni kichaa hapana kuna kitu mtakuwa mumeshea boroooooo
ReplyDeleteHuyo baby Madaha ana tatizo gani anafikiri bifu zitambeba akuze jina ajue ndio kwanza anajishusha kamsema diamond kahamia kwa shilole mbona ye anajiuza wenzie hawamsemi msameeni bure huwez jua lazima ana tatizo
ReplyDeleteNgoja nikamtongoze baby Madaha maana nishasikia ni muuza kuma, kisha subiri shilole nitakutumia picha zake nikimbirimba
ReplyDeleteachana na baby madaha atakupotezea muda kujibizana nae kwanza she has no class mchaaaafu hta sijui mijanaume inafata nini pale!!! linapenda sifa hta kuvaa kwenyewe halijui
ReplyDeleteshilole we jari kz yako achana na majungu hayasaidii yanarudisha maendeleo nyuma achana nae huyo
ReplyDeleteHaswaaaa,anony 11.34 yani lichafuu ht kwa kuliangalia tu,mkorogo ka likitimoto,wanaume c wanajua anauza k so wanamtia na kuondoka,nampa pole huyo manager wake anaetembea nae
ReplyDeleteCielew!!! Kuna k2 mmetendana 2 kimya kimya
ReplyDeletesidhani kama kuna kitu wametendeana kimya kimya kwa kwa shilole kasema hata hajawahi kukaa nae pamoja hata kupata kinywaji zaidi ya kujua tu kwamba madaha ni msanii mwenziwe.
DeleteLakini kiukweli baby madaha ana dharau sana hata jinsi alivyomuongelea mwenzie kwa dharau na kubinua domo utadhani yupo chooni. KIKO WAPI SASA HAUKUPITA MUDA KAUMBUKA KWA KUJIUZA - aibu iliyojeeee?? Malipo ni hapa hapa dunia
sidhani kama kuna kitu wametendeana kimya kimya kwani shilole kasema hata hajawahi kukaa nae pamoja hata kupata kinywaji zaidi ya kujua tu kwamba madaha ni msanii mwenziwe.
ReplyDeleteLakini kiukweli baby madaha ana dharau sana hata jinsi alivyomuongelea mwenzie kwa dharau na kubinua domo utadhani yupo chooni. KIKO WAPI SASA HAUKUPITA MUDA KAUMBUKA KWA KUJIUZA - aibu iliyojeeee?? Malipo ni hapa hapa dunia