UGANDA YAPIGA MARUFUKU UVAAJI WA VIMINI NA MAVAZI YA NUSU UCHI ATAKAYE KUTWA FAINI JELA MIAKA 10

Rais wa Uganda Yoweri Musen Amesign Mswada wa kuzuia wanawake kuvaa nguo fupi zijulikanazo kama vimini ama nguo zozote za nusu uchi, Kuanzia sasa mtu yoypte atakaye kutwa amevaa hivyo atachukuliwa sheria ikiwemo adhabu ya kufungwa jela miaka 10 mpaka 15 ...Je unaonaje na kwetu Tz ikiletwa Adhabu Hii Maana daaaa Kumezidi?/
Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. bora mushimiwa kikwete nae atoe adhabu kama hiyo ili bongo nayo iwe na nidhamu! maana bongo sasa kama us uchi nnjenje'

    ReplyDelete
  2. Kikwete tunakusubiri na ww utowe tamko tuwaone hawa malaya wakitembea tena uchi

    ReplyDelete
  3. 2014 badao watu wanapangiwa kuvaa! Wana nchi wanakufa kwa kukosa matibabu, watoto wa mitaani wanaongezeka, ajira hakuna nchi inanuka umaskini eti mtu anafikiria kupiga stop mavazi!! Ooh Africa nili utakuwa na uhuru na amani!? Yote hiyo ni mambo ya kuwa control wanawake , kwa hiyo no skin jeans na kata K kwa wanaume pia au? Bullshiit

    ReplyDelete
    Replies
    1. full of bullshit.kesho navaa umini nakatisha ikulu

      Delete
    2. WE BWEGE KABISA

      Delete
  4. kweli jakaya twakusubilia

    ReplyDelete
  5. hv vimini vinasidia nn issue ya mashoga umeipotezea unadakia mambo hayana kichwa wala miguu kibaraka wa wazungu ww unajidai hutaki uzungu huku unawatumikia shame on musaba

    ReplyDelete
  6. bora kabisa hiyo sheria ije hapa nchini sababu hii mijidada imezidi, utafikiri hamna ukimwi vile!! hv hawa dada zetu hawaogopi gonjwa eeh!! wanafikiri ndomu inasaidia 100 percent!! watu wa ajabu sana!!

    ReplyDelete
  7. Ukimwi upo kwenye vimini au?mbona kama enzi za mkoloni.ovyoooo

    ReplyDelete
  8. WATU NA MAJUBA LAKINI BADO WANA KAGAWA URODA OVYO SO MAVAZI HAYANA MCHANGO WOWOTE WA KUENEZA hiv

    ReplyDelete
  9. malimbukeni nyie, vaeni kimaadili yenu cyo kugeza ya wengine, pumbafff!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad