Tweet
"..Maisha ni mapambano na katika kupambana nayo kuna vizingiti vingi tena virefu utanue mguu kwa hatua kubwa kuvuka hivyo vizingiti, ukiamua kusonga mbele usigeuke nyuma pambana na kilichopo mbele yako kutimiza malengo yako katika maisha.." by - Wastara Sajuki
Haswaaa mpendwa umeliona hilo eeeh!Tena usisahau kufanya ibada na mungu atakulinda,umenifurahisha sana shost.
ReplyDeletendo unakuanauso wamajonsi hivyomama mh jikaze utafanikiwa tu uskatetamaa munguyupo nawewe.
ReplyDelete