Baada tu ya Mh. Lowassa kutangaza ndoto yake kwenye Sherehe za Mwaka Mpya huko jimboni kwake, kukaaanza malumbano yakiongozwa na watu wake wa karibu sana wa kwanza alikuwa Msindai, Mgeja, Guninita, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar na Mwenyekiti wa CCJ chama kilichokufa kabla hakijaanza na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha. Hawa ndio kweli Mh. Lowassa anayetaka Urais wa Jamhuri hii ndio aliowaona credible Leaders wa kumzungumzia kwa huu umma na kama sikosei kwa maneno mengine anatuambia kwamba akishika Urais wa Jamhuri hii hawa ndio tuwategemee kama Viongozi wakuu wa Taifa.
- Msindai aligombea Ubunge akashindwa, Mgeja chini ya uongozi wake Mkoa wa Shinyanga CCM imepoteza viti vingi vya ubunge kuliko mikoa yote huku Bara, Guninita amegombea Uenyekiti wa Mkoa wa Dar akashindwa na chini ya uongozi wake Majimbo mawili muhimu sana yameenda Upinzani, lakini kweli Lowassa anaamini kwamba hawa wanaweza kumsaidia kuifikia ndoto yake hiyo ya muda mrefu sana kama alivyosema mwenyewe.
- Well, simchukii wala simuungi mkono na mbio zake, lakini kwa hayo machache niliyokwisha yaona na kuyasikia maana yake ni moja kwamba sitapata shida ya kuamua kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Taifa wa kuamua mgombea ambao mimi ni mjumbe kama nimpe kura yangu au hapana, iwapo jina lake litkuwepo!!
- MAKALA YANGU NZIMA YA HII HABARI ITAKUWA KWENYE GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI.
Le Mutuz
WILLIAM MALECELA "SIMCHUKII LOWASSA ILA SIMUUNGI MKONO NA MBIO ZAKE ZA URAIS"
18
February 06, 2014
Tags
Wewe na baba yako lenu moja.si alikwenda uarabuni akabadili dini ili awe Rais!leo hii anamnyooshea kidole Lowasa. Shame on you Lowasa ndio jembe letu
ReplyDeleteHilo nalo neno mdau 7:32
ReplyDeleteSiasa bwana..!
ReplyDeleteKazi ipo!
ReplyDeleteLowassa ndo Raisi wetu tunataka aje kurudisha mali zilizoibwa na baba Ridhiwani na wenzie
ReplyDeleteMi nakuchukia sana William pamoja na babako, ndio mmeharibu nchi hii, na Lowasa mtamsema mpaka mjambe ila jina lake likipita tu lazima awe Rais, sio malaika bt he is more more better than u r pumbavu father.
ReplyDeleteMatusi ya nini jamani BUT William acha kigeugeu, wakati sisi tunaleta hoja za kuhusu mafisadi ulikaa kimyaaa! Sasa unaona wengi wakimsakama Fisadi Lowassa na wewe unafuata mkumbo! What a dumb leader wanna be!?
ReplyDeleteC alimdhulun ur dady that time ndo mana mnabif nae kawazd mbal xna c tunataka raisi aliyepata km lowasa co anaetafuta km ur dady mana atatuuza mpk cc ili afke levo za lowasa
ReplyDeleteNa mtatimbana sana nyie mafisadi wa ccm na watoto wenu, mna bahati wadanganyika wanakubali propaganda zenu, mngekuwa kenya nyie kibao kingewageukia.
ReplyDeletewanaomhalalisha lowassa kwamba ndiyo raisi mtarajiwa sijui wao ni Mungu, jamani kuna Mungu, akipenda atakuwa yeye, au atakuwa mtu mwingine, au nyie ndiyo watu mnaokula hela za huyu bwana ndiyo maana mmempa uraisi tayari, au nyie ndiyo watanzania pekee yenu? acheni ujinga nyie.
ReplyDeleteLowassa 4 president
ReplyDeleteWilliam umeshamaliza zile hela ulihongwa na KAPUYA? Pumbavu!
ReplyDeleteDogo William unazeeka akili kama baba yako.
ReplyDeleteLowasa Aa Aa,lowasa Salam Zako,lowasa Aa Aa,lowasa Tumaini Letu,lowasa Aa Aa,lowasa Rais Wetu,lowasa Aa Aa,lowasa Ni Moringe Wetu,lowasa Aa Aa,Hakika Ni Sokoine Wetu, Lowasa Aa Aa,lowasa Ni Kiboko Yao,lowasa Aa Aa,lowasa Ni Sumu Ya Wazembe,lowasa Aa Aa,lowasa Ni Mtendaji,lowasa Aa Aa,Wote Mpeni Kula, KIITIKIO Nasema Mpeni Kula,tena Mpeni Kula,mwingine Hafai Kitu,bali Ni Lowasa,nasema Ni Lowasa,jamani Ni Lowasa,nasema Msibabaike,nasema Ni Lowasa,hakika Ni Lowasa,Nasema Ni Lowasa,ni Lulu Yetu,ni Tumaini Letu, shijakishiwa33@yahoo.com
ReplyDeleteLowasa Aa Aa,lowasa Salam Zako,lowasa Aa Aa,lowasa Tumaini Letu,lowasa Aa Aa,lowasa Rais Wetu,lowasa Aa Aa,lowasa Ni Moringe Wetu,lowasa Aa Aa,Hakika Ni Sokoine Wetu, Lowasa Aa Aa,lowasa Ni Kiboko Yao,lowasa Aa Aa,lowasa Ni Sumu Ya Wazembe,lowasa Aa Aa,lowasa Ni Mtendaji,lowasa Aa Aa,Wote Mpeni Kula, KIITIKIO Nasema Mpeni Kula,tena Mpeni Kula,mwingine Hafai Kitu,bali Ni Lowasa,nasema Ni Lowasa,jamani Ni Lowasa,nasema Msibabaike,nasema Ni Lowasa,hakika Ni Lowasa,Nasema Ni Lowasa,ni Lulu Yetu,ni Tumaini Letu, shijakishiwa33@yahoo.com
ReplyDeleteMkundu uyo fala lowasa ndo prezidaa anae fatia?
ReplyDeletemnaota!!!!!
ReplyDeleteKila anayesema mtu fulani hafai kuwa Rais, anapaswa pia kutuambia kuwa yeye anadhani nani anafaa na kwa sababu zipi, japo kuwa wakati wa kufanya hivyo bado, ili wananchi tuweze kupima huyo anaepigiwa debe kama anastahili au laa.
ReplyDelete