WIMBO WA DIAMOND WASHIKA NUMBER MOJA KWENYE RADIO KUBWA NAIGERIA..

Diamond na Wimbo wake aliyo mshirikisha Davido Number 1 Remix ni SHIDA huko Nigeria..Washika Number moja kwenye chat za Muziki leo siku ya Valentines Day kwenye Radio inayoitwa BEAT FM 99.9(check hapo chini:

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kama jina la hii blog.UDAKU huu!

    ReplyDelete
  2. diamond dogo huyu baraa. Wamuongeleao vbaya kama starlisha a.k.a Chaga nn wanatafuta umaarufu kupitia kwake. Kwann wasiwaongelee wakina dogo janja kama wanajua kuongea? kazana diamond.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad