YA MOYONI KUHUSU MANCHESTER UNITED..........

Habari zenu mashibiki wote wa Man U na wadau wote wa soccer,

Awali ya yote naomba ni declare interest, mi ni die hard Man U fan, nina zaidi ya mapenzi na timu hii mi nina mahaba na timu hii. na nasukumwa na mahaba hayo kuongea haya

Ni wazi kwamba wengi wa mashabiki wa timu hii tumeipenda timu hii sio tu kwa sababu ilikua inafundishwa na SAF bali ni kwa sababu ilikua ni timu ya washindi, timu yenekuleta ushindani mpaka dakika ya mwisho, how many times tumechomoa magoli dk za 90,94 au 96 wakati wapinzania washaamini ushindi upo kwao it was in our DNA, that is Manchester I used to know, je Man U hiyo imeenda wapi…?
Naelewa na kuamini msemo usemao mvumilivu ula mbivu lakini vilevile dalili ya mvua ni mawingu na chelewa chelewa utakuta mwana sio wako.
Wapo wadu wanajaribu kusema hii hali ya timu yetu sa hivi ni kawaida tu hata SAF aliipitia, katika swala la kuipitia sina ubishi nalo ila kusema ni kawaida hapo ndio tunatofautiana,
Hivi expectation za Man u wakati Fergie anakabidhiwa timu zilikua sawa na za Man U ya sasa…? Aliikuta timu hipo katika level gani katika timu za Uingereza…? Hivi expectations walizonazo washabiki wa Swansea kwa kocha wao mpya ni sawa na za mashabiki wa Man U…? je mnataka kusema lengo la kuleta kocha mpya ilikua ni kutoka level zetu za big 4 kwenda kuwa wafalme wa big 7…?
Mpaka hapo nimeshaonesha mlengo wangu ni hupi, YES simkubali Moyes na I put all blames on him kwa kiwango kibaya cha timu yetu cha kihistoria, wanao msupport Daudi wamekua wakisema tumpe muda anajenga timu, nafikiri wangesema tumpe muda maana anabomoa iliyokuwepo kwanza ndio baadae aje kujenge timu mpya….
Timu hii iliyoonekana mbovu leo hii ndio timu hiyo hiyo iliyochokua vikombe msimu uliopita under SAF na benchi lake la ufundi, cha kustaajabisha daudi alipokuja akataka kuonesha ulimwengu ye ni mjuzi wa mambo akafukuza bench lote la ufundi nakuleta lake amabao limeprove failure, binafsi nilifikiri Moyes angekua na short term plan na long term plan, short term plan ingekua ni kuimantain hadhi ya Man U kwa kupitia timu hii hii aliyokuta nahilii ingewezekana kwa kuliacha bench la ufundi alilolikuta maana ndio linaimudu hii timu while long term plan ingekua kutengeneza timu yake mweneyewe kwa kufanya mabadiliko kidogo kidogo amabayo hayata athili timu yote, matokeo yake katuletea wakina Philip Nevell….kweli of all legends wa man U huyu dogo ndio ameona awe mshauri wake…
Na ikumbukwe Moyes ni Manager na sio coacher/mkufunzi na kazi ya manager sio kumfundisha RVP kufunga au Vidic kukaba bali ni kuleta game plan afu wachezaji wanaifollow hiyo game plan, na ili kuwafanya wachezaji wamaiweze game plan yako kwanza ni mpka wae na imani na wewe, pili hiyo game plan yako hiwe workable na mwisho kabisa laziama uwe the good MOTIVATOR, na manager mazuri dunianiani ni good motivator hata kama timu inamapungufu as long as kocha wao yupo wataperform tu kwa kiwango sawa na timu zilizo bora, Moyes kashindwa kabisa hii…. Mbinu za man U siku hizi the are very obvious and predectable mpaka timu zinazaotaka shuka daraja can crack our plans easily and use them against us, mfano game ya juzi na Fulham, mbinu za moyes zilikua old school kabisa, tanua uwanja then piga long crosses, by the way tulipiga cross zaidi ya 80 and then what…!! I wonder mata alinunuliwa kwa ajili gani kama hii ndio game plan ya Moyes
“Moyes the chosen one” hii kauli ndio inatuua sasa man u, sijui ni nini SAF alikiona kwa Moyes mpaka akaamini is the right guy for the Job, na sijui alishindanishwa na nani na kuibuka kinara au kipi exactly walikiona kwa Moyes, binafsi nilipoona The Boss kampendekeza sikua na shaka kabisa ni kiaamini thr Boss siku zote huwa yuko sawa kwenye maaamuzi yake, ila sas nahisi na naaamini on this he gotta it all wrong, ikumbukwe huyo Fergie before coming to Man he was already the winner, he had already won the Scottish League with Aberdeen and he kills the domination of Rangers and Celtics akaja England akaikuta man U hiko dhoofu bin hali, lakini akawatoa waflme Liverpool kileleni, Moyes c.v yake inaonesha alishawai kushinda nini au nini kilichomfanya apewe timu kubwa kiasi hiki…? 
Hivi tumekua West Ham united kwamba tunamantain kubakia kwenye league tu….timu imekosa ushindani kabisa afu watu tuansema apewe muda, sa apewe muda wa nini….
MWISHO; nothing personal, ila Moyes kaishaprove he gotta nothing to offer for Man U tukubali tu tulibugi hapo, na ka nakosa Moyes prove me wrong leta ushindi nyumbani, ntakuja hapa na kusema YES you are the right person for our team after all hakuna shabiki anafurahia kushindwa wala hakuna shabiki anajinyonga au kumchoma mtu kisu timu yake inaposhinda kwa kuwa hatupati ushindi as we used to get basi something is wrong somewhere, and it is my duty as a fan to shout about it
By Mbeky From JF
Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ww mbeki jinyonge tu, mpira wa sasa hauna historia kwa taarifa yako

    ReplyDelete
  2. Njoo ushabikie Simba ufurahi achana na vimeo man u.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kumqmako jamaa anasema ukweli nyau wewe simba nayo ni team msenge wewe....

      Delete
    2. msenge mamayako.kumamakoooo

      Delete
  3. ackudanganye cmba ndo majanga, jmos anapigwa tena na mbeya city

    ReplyDelete
  4. Komaa na timu yako lakini moyes katumaliza kabisa

    ReplyDelete
  5. We tuachie man u yetu kwanza we ni mamluki huijui united,bado mapema mno kumlaumu kocha, je hao washika bunduki miaka 7 wapo wapi?na bado wapo na Wenger, Ferguson alikua nafasi ya 12 kwa taarifa yako msimu was kwanza.

    ReplyDelete
  6. Mbeky upo sawa kabisa huyo Moyes amekuja kutumaliza hana mbinu kabisa analeta mfumo Wa kupiga krosi tu yaani kiukweli fans of man u tumechangakiwa na huyu mzee

    ReplyDelete
  7. Kaka kawaida ila lazima asepe anatuangusha

    ReplyDelete
  8. Mi nachoka kabisa cjui cha kusema inauma sana maana wengine mpk damu zetu zimeandikwa Man U

    ReplyDelete
  9. Man u kweri inatubowa mashabiki kira mech kwetu fainal angejua moyes kuwa anatuumiza mashabiki wala asingekuwa hivyo nibora asepe cv yake ndogo awezi imudu man u nitimukubwa duniani

    ReplyDelete
    Replies
    1. we msenge andika vizuri kiswahili kweri, kira unatuabisha wapenz wa man utd eboooooooooo

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad