YANGA YAZUIWA UWANJA WA NDEGE KWA MUDA WAKAGULIWA KWA KUHISIWA NA MADAWA YA KELEVYA
4
February 13, 2014
Leo Asubuhi Team ya Yanga Imekiona cha Moto baada ya kuzuiwa uwanja wa Ndege wa JKIA Hapa Dar Wakielekea Comoro Kwa Ajili ya Mchezo wa Marudiano ...Mtoa nyeti Amehabarisha kuwa Walihisiwa wamebeba mzigo ikabidi upitishwe ukaguzi wa nguvu na kusababisha safari yao kuchelewa kwa muda wa Nusu saa...Habari Kamili kama walikutwa na Mdawa ama la itatolewa baadae
Tags
dahh Yanga inamnyima usingizi Rage kweli kweli, anaitafuta kila kukicha, haya ndiyo mambo gani sasa? kisheria za michezo timu ya mpira haitakiwi kukaguliwa, wafanye hivi kwa timu zote sasa, mpaka azam.
ReplyDeleteair port na rage inauhusiano gani, imeshukiwa inakaguliwa haya rage kajaje kwa yanga uanja wa ndege
Deletewe udaku msenge, habari ya asubuhi unaaandika mchana huu, kwahiyo mpaka sasa hv haijajulikana kama wamekutwa nayo? aacha uhanithi!
ReplyDeletemh. Muongo wewe.
ReplyDelete