Chama cha Alliance For Change and Transparency Mkoa wa Kigoma,kimeshusha Bendera ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA tawi la Ujiji stendi ya zamani na kupandisha bendera ya (ACT) wakati wa uzinduzi rasmi wa matawi sita katika manispaa ya kigoma ujiji.
Akizungumza na wananchi wa eneo hilo, Katibu wa ACT Mkoa Athuman Kabogo alidai lengo la kushusha bendera hiyo ni hatua ya kukataa kugeuzwa kuwa vibaraka wa watu wengine kwa kukosa haki ya kuhoji na kuwania nyadhifa za chama hicho na
hivyo kuanzisha ACT kama chama cha wanyonge kinachoweza kuwasikiliza na kutoa haki kwa kila mmoja
Kabogo aliwataka wanachama wahitaji, wachukue kadi za ACT ili chama kipate usajili kamili kwa mujibu wa sheria,kanuni na taratibu husika pamoja na kutoa michango endelevu ,ikiwa ni jitihada za makusudi kuhakikisha chama kinasonga mbele
kwa maslahi ya Taifa.
“Wananchi nyie ni chachu ya chama kuwepo kwenye mchakato wa uchaguzi mdogo wa wenyeviti wa serikali za mitaa kwa kukiamini na kukipatia ridhaa kiweze kuleta
mabadiliko ya kimaendeleo” alisema Juma Ramadhan aliyekuwa katibu kampeni wa CUF kigoma.
Kwa upande wa Katibu ACT Kanda Magharibi Wiston Moga alisema, lengo la chama ni kuleta mabadiliko kwenye ulingo wa siasa,ambapo wao wamedhamiria kutetea maslahi ya umma kwa lengo la kuondoa mfumo wa maslahi binafsi ambayo ni chachu ya vyama vya siasa kushindwa kuleta mabadiliko chanya kwa wananchi.
Katika ziara hiyo ya uzinduzi wa matawi ya chama husika,ACT kimefanikiwa kufungua matawi kwenye kata sita kati ya kata 19 zilizopo katika manispaa ya kigoma ujiji,huku baadhi ya viongozi kutoka UPD,CHADEMA na CUF wakijiunga na chama hicho
kwa kudai wanahitaji chama chenye uchungu na kukabiliana na changamoto za wanyonge.
Hata hivyo wanachama 3500 wa chama cha Democrasia na Maendeleo Chadema katika tawi la Ujiji mkoani Kigoma wamehamia chama kipya cha Alliance For Change and Transparency (ACT).
Na Magreth Magosso, Kigoma
haki ya mungu kazi kwelikweli
ReplyDeleteWale wale 2 kasoro majina
ReplyDeleteWale wale 2 kasoro majina
ReplyDeleteBring it on! ACT.
ReplyDeleteZittoooooo baba karibu, wapige bao la kisigino wajinga hao. ACT ni Nchi nzima......hamna mchezo....Zittooooooo....
ReplyDeletesawa zito, kuma zenu cdm
ReplyDeleteduh!! mmejuaje? clipendi li cdm na ma viogozi wakd
ReplyDeletecdm mmechemka washamba nyie
ReplyDeleteatc nchi nzima kumamake cdm kwishinehii na ubnafshj wachagga tupu
ReplyDeleteCyo dhambi kufuata upepo'masalia wa kigoma hawawez kukiyumbisha chama cha chadema' 2po pmj mwanzomwisho'tulianza na mungu na tutamaliza na mungu
ReplyDeleteKaribuni Arusha!!! Wanawake wote tutaamia Atutaki unafki!!!!!
ReplyDeletekamateni na vyuoni huko ndo viongozi wanapozalishwa
ReplyDeleteHata mimi nataka kuanzisha chama changu naomba muniunge mkono jamani watanzania, hamuoni kua hali ni mbaya
ReplyDeleteEti karibia na uchaguzi mbwembwe nyiing kama nccr mageuzi walivochanganywa chezea chichi em ww???? Hakuna cdm wala act mnavurugwa tu. Ndo maana naipenda tz matajir watakuwa matajir na poor watakuwa..................... Vijana wanateketea kwa HIV hata hawawangalii cox watoto wao wako vizur. Mweee ishu ni nyng haya tuangalie
ReplyDeleteAcha usenge ww unaeshabikia chadema,watakufanyia nn hao wachaga na huyo mbowe mchezesha disco? Njoo ccm kumamako ww
ReplyDeleteChadema wajinga wote nyie na uchaga wenu
ReplyDeleteNaona sasa hv chama cha mbowe na wajinga wenzie mnamuandaa alfonce mawazo kugombea ubunge ars mjini,mmechemka mafala nyie,kwanza viongozi wenu wanauchu na madaraka na kale kakimbola kenu slaa,mliona mmemkomoa zito kumbe mlejipalia kaa la moto,sasa rais ajae atakuwa LOWASA halafu waziri wa fedha ZITO mtaipenda chadema kumamayo zenu...nyoooooookoooo yaone yalivyo
ReplyDeletekaribuni kwenye chama cha wasaliti, ukiwa wewe ni msaliti wa aina yeyote iwe wa ndoa yako au chochote unakaribishwa ACT!!! ACT hoyeeeeee!!!!
ReplyDelete