Unapohusiana na mtu kimapenzi unafanya naye agano la damu. Agano hilo maana yake ni kwamba wewe unakubaliana na kufungamana na sifa na tabia pamoja na vifungo vingine vyote kama vile laana, mizimu, matatizo na majanga mbalimbali yanayomhusu huyo uliyefanya naye mapenzi, kadhalika na yeye anafungamana na wewe katika mambo hayo. Agano la namna hiyo humtaka aliyeingia katika hayo mapatano kukubaliana nayo "consistently". Iwapo mhusika hatatii au ataenda kinyume na agano, ndipo agano hilo "hutrigger malice" na kusababisha kutokuelewana, vurumai, kutokupendana na hata kuuana katika mahusiano na mara nyingi kupelekea kuachana!
Kimsingi, unapojamiana na mtu unakubaliana naye kuchangia kila kilicho chake, na yeye pia anakubaliana kuchangia na wewe kila kilicho chako, hasa laana na matatizo kama vile magonjwa na mizimu kwa sababu hivi vitu vimejengwa katika maagano ya damu.
Ndio maana wakati mnaoana na mwenzio mlipendana sana, lakini kwa sababu wewe au mwenzi wako alichepuka na kufanya maagano: ugomvi, mapigano, kutishiana, chuki na hata kutaka kuuana hakuishi kila leo! Swala sio wivu kwamba unahisi mwenzi wako anakusaliti au kuhitilafiana katika mambo tu ya kawaida, issue ni yale maagano ya damu ambayo "hudemand price"!
Mara nyingi unasikia watu wanalalamika kuhusu tabia za watoto "huyu mtoto tabia kaichukua wapi, mbona baba na mama yake au ukoo wao hawako hivyo?". Chanzo cha tabia za ajabuajabu za watoto ni matokeo ya michepuko iliyofanya maagano na watu/koo zingine zenye laana. Laana na matatizo yanayoletwa na agano la damu katika familia havihitaji mtu kuchepuka na kuzaa nje ya ndoa, bali tu kuhusiana katika mapenzi!
Mimi nilipoingia kwenye mahusiano na mke wangu nilivunja maagano yote kwa jina la Yesu. Lakini kumbuka kuwa huwezi kuvunja maagano kama vile ya michepuko kwa jina la Yesu ili "kufavor your own evil deeds"!
Maagano yanayofanywa na watu kwa njia ya mapenzi huenda vizazi hadi vizazi. Hii ni sawa kabisa kwa mjibu wa sayansi kwani "hereditary information" kutoka kizazi hadi kizazi hubebwa na viasili vilivyopo katika damu, mfano DNA.
Pasco anaweza kuendeleza hii mada kwa uchambuzi zaidi.
Mie na mke wangu tuna furaha fulltime kwa sababu mapenzi yetu yananawiri kila kukicha, na huwa hatuelewi kabisa matatizo katika ndoa za watu yanatokana na nini! "We are the happiest couple" kwa sababu "we posses several life secrets" mojawapo ni siri kuhusu agano la damu!
Tambueni ya kwamba one of the great decisions a person can make in his/her life ni kuwa na uhusiano wa kimapenzi (hata kwa dakika moja) na mtu kwa sababu anafanya naye life covenant "blood covenant"!
We teach you things that matter most!
- LifeHacker
very interesting topic
ReplyDeletethats belief and lies its never a convenant unless if its between a person whose a virgin but wote mkiwa sio theres no blood convenant hiyo ni belief and it aint true
ReplyDeleteYou can not convince me. It's tricky the way you suggest science supports your idea. I don't buy it.
ReplyDeleteIf u people dont want to believe,thats your problem. The Holy Bible tells the whole truth. I believe what the author says...
ReplyDeleteWeww msenge tu huna lolote, unaongelea dini yako labda na upungufu wako na nguvu za kiume. ,Mimi ni mkristo na naamini kabisa Mungu yupo ila siamini hio mizimu ns wala sidhani kuna dhambi ndogo na kubwa zote sawa. Toka enzi za mfalme Daudi na mababu zetu inajulikana fika hskuna mwanaume anakuwa na mke mmoja unless uamue tu kama weww hivi au uwe na tatizo la kipato au kimwili. Mwanamke mpaka aridhike kwenye ngono ambayo ndio msingi mkuu wa ndoa bcoz kama ni masuala mengine hata kwao yapo basi lazima uwe rijali kweli kweli na umaintain urijali huo maisha yako yote kwa sababu wanawake wanataka kuridhishwa sex muda wotewa maisha yao. Sasa wanaume wa aina hio ni wachache sana ndio maana ya michepuko mingi sio tamaa ya hela tu.
ReplyDeleteUpande wa wanaume sasa, ukimzoea mkeo anakuwa ndugu , hali ya mihemuko ya mapenzi inakufa cku baada ya cku. Kwa hio yoshelezo la sex ni lazima utafute dam mpya na hasa changa kwa sababu hua hatuzeeki roho, tunazeeka mwili tu kwa hio tamaa ya matunda mapya kwa pande zote iko pale pale. Bora waislam waligundua hilo ingawa wakapendelea wanaume ila hio inamsaada kwa wanawake coz mume akipoga round akirudi wa kwanza anakuwa na apetite kidogo angalau kuliko mke huyo huyo kwa wakristo. Sasa ili kuweka amani duniani ndo ikabuniwa kwamba usile tunda kabla ya ndoa na baada ya ndoa. Sababu ni very simple logic. Ukishajua wali unamapishi mengi ewe mwanadam hakika its a matter of time tu utapenda pishi mojawapo tena utatoka tu nje ya ndoa, hii ni kwa wote mke na mme. Ila hii ya mtoa thread sijui mizimu sijui damu upuuzi mtu kama laana labda za ukoo weni sio za kutiana nje. Tunashare vitu vingapi na watu tusiofanya nao sex na sex ni dam gani wakati mmoja hapokei chochote anatoa mbegu tu. tena ukivaa kondom je na bila romance je dam ipo wapi hapo.
We ni mpagani sio mkrito
ReplyDeletedhambi sio sawa,basi ina maana binadamu ana akili kumshinda mwenyezi mungu, kwa vile aliyeiba kuku hawezi fungwa sawa na aliye ua
ReplyDeleteagano la damu ni ushetani,are they vampires
ReplyDeleteNakubaliana na adm. Ni kweli tupu. Ww uliyesema umkristo, umkristo jina. Soma bible uielewe.
ReplyDeletebiblia!!!!yupo jesus,@alafu nyie kitendo cha tendo la ndo ni kitu kikubwa sana..ni kama kuuwa,ndo maana mtu anatakiwa kuwa na mtu mmoja.au????
ReplyDelete