BINTI ALAZIMISHA UMAARUFU KWA KUJIPIGA PICHA AKIKISS NA MSANII DAVIDO NA KUZISAMBAZA MTANDAONI
4
March 21, 2014
Umaarufu mwengine wa ajabu sana binti huyu inasemekana alifanya kila mbinu apate nafasi hata ya kumbusu tu davido , na alipoipata hakufanya makosa wakati wana kiss alijipiga picha nakusambaza picha hiyo kila kona kwenye mitandao. Daahhh hatari sana..!!
Tags
Mmmmh usenge tu
ReplyDeleteNI USHAMBA
Deletemuone jicho lilivyomtoka ka mjusi kafili, sura ngumu! haamini kama picha ingetokea.
ReplyDeleteDuuh
ReplyDelete