Mwenyekiti wa Muda wa Bunge maalum La Katiba Mh Pandu Kificho Ameahirisha Semina ya kujadili Kanuni za Bunge Maalum la Katika Kutokana na Vuruguru Kutokana na Hali ya Kutokuelewana Kati ya Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mh Ole Sendeka Kutoleana maneno na Mbunge Mwenzake wakati Mbunge Huyo alipohoji kuhusu Kanuni hizo.
Bunge maalum linaloendelea dom linaweza kujikuta likiisha kwa kuigawa nchi yetu vipande vipade kutokana na misimamo ya baadhi ya wajumbe wake, leo tumeshuhudia bunge likiahirishwa baada ya mjumbe kutoka zanz akimtolea uvivu sindeka na mwenyekiti wa muda aye akiungana na mwenzake wa zanz, hivyo imepnekana dhahiri wabunge wote wa zanz wakiungana na wabunge wote wa upinzani na wale wa ccm bara wakibakia peke yao na msimamo wa chama chao, kazi ipo uwezekano wa kupata katiba mpya kwa kutumia msimamo wa ccm imekua ni vigum sanaaa, kizuri makundi yote hayaungi mkono msimamo wa ccm.
Hapo sawa
ReplyDeleteNi bola bunge livunjwe kila mtu ale kona, tuendeleeni na katiba yetu hii hii aliyoiacha mchonga mie sioni sababu ya kubadilisha katiba
ReplyDeletewako huko kwa posho tu hao!
ReplyDeleteCCM NYOOO ZENU!
ReplyDeleteKatiba ya nyerere iendelee kutuongoza. Mpya nooo wajumbe ludini makwenu njaa nyie, nyooo
ReplyDeleteMatako
ReplyDeleteMakuma
ReplyDeletehawa wasenge kwel, wawaache walimu wasiajiriwe alafu wanaenda cheza mchezo wa kombolela bungen, fuck them all.
ReplyDeleteJamani hivi ukitoa ushauri wako bila kutukana matusi unaona kama hautaeleweka au ni fashion, kuweni wastarabu jamani, unapotukana mtu hawezi akakuelewa, kinachotakiwa ni kutoa maoni yako ni si matusi.
ReplyDelete