CCM WAJIPANGA KUMJIBU WARIOBA KUHUSU MUUNGANO WA SEREKALI TATU

Wajumbe wa ccm baada ya kumaliza kikao chao jana usiku saa nane baada ya kutoka bungeni kupokea hotuba ya uwasilishaji wa rasimu ya pili ya katiba, ccm wameazimia kujiandaa kumjibu na kumsulubu dhidi ya hoja zake juu ya muungano ambao ccm inahitaji kuendelea kuwa na muungano wa serikali mbili.
Tutaendelea kuona vioja dhidi ya warioba mana ukweli umewekwa wazio tayari na warioba na sasa tusubiri huo mbadala wa hoja za warioba na majibu dhidi ya ukweli huo.
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hawa watu maboya kweli..hayo sio maoni ya warioba ni maoni ya wananchi time for change!!

    ReplyDelete
  2. CCM hawaitakii Mema Tanzania na haswaa zanzibar,Time for Changes,CCM wawajibu wananchi ndio waliotoa maoni na sio JAJI WARIOBA......Wajinga sana hawa jamaa,Hamna Maendeleo yoyote Duniani yanayokuja na mawazo mgando,Pasipokuwa na mabadiliko ya kisiasa,kiuchumi na kijamaa hakika suala la maendeleo hubakia kuwa ndoto tu.....

    ReplyDelete
    Replies
    1. lazima muelewe hivi dunia hii nchi gani inaserikali tatu? au mnakurupuka tu mmepata wapi experience ya serikali tatu au mnatafuta matitizo juu ya matatizo si ndio, tz kwa ushabiki hawafai kabisa

      Delete
  3. pamoja na kutokuwa upande wa ccm kwa lolote, lakini hili swala la serikali tatu kwa hapa TZ siliafiki, sababu bado hatujajitambua, bado tupo na zile fikra kwamba ukipata uraisi ni kupata ulaji wa familia yako na marafiki zako, na kusahau wananchi, hatuna watu wenye maadili sasa hivi kama enzi zile za Nyerere!! kwahiyo maraisi watatu itakuwa ni mzigo mkubwa kwa taifa hili, watakuwa wakishindana kusafiri nchi za nje tu!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. We nae kundu 2 kama we hujaona c wew? Kamwambie mkeo cc ni selikal 3

      Delete
    2. elimu ndio zii kichwani kwako....funguka

      Delete
  4. Warioba ni miongoni mwa wle G55 ambao wanataka Tanganyika yao, kwa hiyo wanasingizia Kwamba Zanzibar inanyonywa kwenye Muungano ili Wanzanzibar waso akili waamini hivyo lakini lengo ni kumuondoa huyo mzanzibar asijitanue huko Tanganyika, maana hakuna asojua kama wazanzibar wanatessa wanavyopenda tanganyika ila watanganyika hawana chao zanzibar, kwa hiyo warioba anataka kulindoa hilo kwa kusingizia maoni ya wananchi kumbe ni fursa alokuwa akiitafuta muda mrefu. Hao kina warioba na kundi lake haataki mznzibar ajilimbikizie ardhi huko bara wala kutesa anavotaka wakati ana kwao zanzibar, wenye akili fikirieni na muangalie kwa kina. KAMA NIKUONDOA KERO NA KUWA NA MUUNGANO WENYE NGUVU WANGEKUJA NA HOJA YA SERIKALI MOJA NA YENYE NGUVU. HAYO MENGINE YOTE NI KUSMBARATISHA NCHI NA KUENDELEA KUWA NA SERIKALI HATA KUMI MBELENI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. i purely doubt yo research sources...guess what,this displays yo weak and lame reasoning capacity,try harder

      Delete
  5. alafua asiseme wamanchi wanataka serikal 3 wakati tume na yeye mwenyewe ndo wanataka hivo, alafu hutuba yake alone kana kama vile analazimisha wakati hiyo katuba inatakiwa kurudi kwetu wananchi ndo tuamue na hili tunataka ipigwe kura nchi nzima ndo tutajua maamzi sahihi ya wananchi so anawauliza watu 100 afu anakuja kutwambia wananchi wanataka wakati hii nchi inawatu zaidi ya million 40

    ReplyDelete
  6. surely we need more intelligent,intellectual and reasonable personal,who have true love to this nation and with full wisdom like JUDGE WARIOBA,the nation at large(citizen) should wide open their mind,their eyes and ears and stop celebrating in the proletariat society in the name of maxims,our MAIN aim is to eradicate its causative s as well as to wash away the cataract which blurs our vision,our sight to identify the true people who have true love to this nation,WATANZANIA TUAMKE,NA TUFUNGUKE

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad