Chris Brown baada ya kuvunja sheria za rehab alifukuzwa na baadae kukamatwa, hivi sasa amewekwa jela kwa muda wa mwezi mmoja.
Mtandao mmoja wa huko Marekani umeripoti kwamba Chris Brown yupo kwenye hali mbaya ndani ya gereza hilo kiasi kwamba hali chakula,usiku halali,anaongea peke yake na maisha ya humo ndani ni magumu kwake.
Wanaendelea kuripoti kwamba Chris anakunywa maji tu na wakati mwingine anapewa juisi ya machungwa.Huwa anapewa sandwich kwenye chombo kibovu na Chris Brown huwa anakataa hiyo sandwich.
Chris bado anakabiliwa na mashtaka mengine ambayo ni kumpiga kijana mmoja na kama kesi hiyo ikimuendea vibaya anaweza kwenda jela miaka 4.
Taarifa zinazotoka hivi sasa ni kwamba mwanasheria wa Chris Brown anafanya juhudi zote za kumlipa kijana huyo ili mteja wake akimaliza mwezi mmoja wa jela asiwe na kesi yoyote.
Mwezi huu mmoja anaotumikia Chris ni kutokana na jaji kumtaka akae rehab baada ya kuvunja sheria alizowekewa baada ya kesi ya Rihanna. Lakini pia akavunja sheria za Rehab na kujikuta anafungwa kwa mwezi mmoja.
CHRIS BROWN AZIDI KUCHANGANYIKIWA HALI WALA HALALI HUKO JELA
6
March 24, 2014
Tags
jamaa nantumia cocaine,sasa huko jela ndo patamuumbua.
ReplyDeletendo atajua
DeleteWe nana unafilwa nini hyo cocaine umemnunulia wewe ama ina bwabwja tu....ntakutomba hilo kundh lako ukiendelea kuzushia watu huo usenge wako...malaya ww..
Deletethats how they go down,baada yakutengana na illumunati
ReplyDeletehamna illuminate wewe..ni drugs tu jamaa anatumia amekaa jela afew days tayari kashabadilika uso,na alimfundisha rihanna kutumia ndo maana rihanna kwa sigara,,ndo maana anampenda pia,,.ila rihanna nahisi aliacha aisipokuwa najiweka sigarani,,
DeleteAlikuwa anakimbilia jela kubokolewa bishoo huyo! Ana wateja wake huy.
ReplyDelete