Leo Asubuhi Nikiwa Ubungo bus terminal....
Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi ya ubungo,mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari kake akadondosha simu.Mimi nikamuita ili nimweleze kilichotokea,akanisonya tena msonyo wa dharau sana na nikajuta kumgusa bega kwasababu ya kibao alichonipiga.
Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu na kuondoka zangu,wala sikuizima.
Nafika town simu hiyo ikaita nikapokea kwa shauku ya kujua nani,haya ndo ya kawa maongezi yetu na mpigaji.
Mimi; Hallo habari yako
Yeye; Nzuri
Mimi; nani wewe
Yeye; Mimi ndo mwenye hiyo simu ....
Mimi; Na mimi ndo nilokuita na ukanizaba kibao Pale stand ya ubungo leo na ukanisonya
Yeye; Basi kaka nisamehe naomba unambie ulipo nije tuelewane
Mimi; Nitakwambia baadaye (nikakata simu na kuzima)
Swali nimwambie napatikana wapi au nimpotezee ili liwe fundisho kwake?
DHARAU ZINGINE HUWA HAZINA FAIDA..ONA HUYU DADA ALIVYOADHIRIKA
45
March 18, 2014
Tags
Achana nae xi alijion angel n jeur nying mwambie achp lpa
ReplyDeleteMpoteze hana adabu
ReplyDeleteMpotezee ...
ReplyDeleteMPE tu coz hajielew
ReplyDeleteMPOTEZEE
ReplyDeleteHakuna kumpa acha ale nyodo yake....
ReplyDeletemsamehe upate thawabu
ReplyDeletesiku hizi hamna vya hivyo..achana nae,,,ingekuwa milioni mia ungempa au yeye angekupa tupa kule chukua cm.
ReplyDeleteMpotezee ili iwe fundisho.
ReplyDeleteNiambie unaiuzaje ili niinunue?
ReplyDeleteMWAMBIE UKO BAGAMOYO........AKIKUFUATA HUKO MWAMBIE UMEPATA DHARULA UMEENDA MOROGORO UTARUDI BAADA YA WIKI AU AKUFUATE HUKO. IKIPITA WIKI MWAMBIE UMEPATA KAZI KIGOMA AIFUATE HUKO......HEHEHEEIYAA, JEURI AKAMFANYIE BWANAAKE
ReplyDeleteHhhaaaahhhhaaahhhaaaaaaa penda sana hiiii hhhaahhhaaa noumaaa
DeleteHii safi
DeletePumbavu zakee jnga nn, tupa kule na beba cm hiyo bahat yako
DeleteHakuna Kumrudixhia Il Ajihexhimu
ReplyDeleteStori za kutunga...upumbavu mtuuupu
ReplyDeleteHata kama ya kutunga inafundisha!! wewe ndio mpumbavu tena wa mwisho fala mkubwa
DeleteTunga yak na ww, falas
Deletempotezeeee shwaini 2 huyo
ReplyDeletekama ni kweli, mpotezee simu yako hiyo
ReplyDeletempotezee
Deletempotezee
DeleteKama ni habar za kweli, huyo ni wa kupiga pumbu vizur sana, tena unammezea vidongo super shaft piga vibaya mno
ReplyDeletemamamaee ukimrudishia ukapimwe ww sio mzima.
ReplyDeleteheshima muimu huo uwe mwanzo wa kuwa wapenzi mtombe kisawa sawa amsahau aliekuwa nae heshima muimu banaa
ReplyDeleteAchana naye ili ajifunze na ili iwe fundisho kwa.wengine ambao ukimuita anajua unataka chochote kwake.
ReplyDeleteHii story umecopy
ReplyDeleteMtafute mshikajI mwenye office babbbbb kubwa afu mwambie aje kuchukua hazima machine Kali park nje.hakikufatafata tomba afu mwambie ukweli kua vyote ni malipo ya kofi
ReplyDeleteMimi nimeachwa na jamaa yangu sijui nifanyeje
ReplyDeleteUmeachwa kivip na hii inausika vip mada hapo juu?
DeleteAchananae mbwa tu uyo mwanangu akinya hukai uzuri wake bure
ReplyDeleteDawa ya jeuri ni kiburi
ReplyDeleteachana nae.akanunue simu mpya..alifikiri unamtaka..shenzi zake..ajui kama kuna watu wanatafuta waume hata chizi awaoe.
ReplyDeleteMsaamaha ndiyo nguvu ya maombi msamehe bure utona katunda
ReplyDeleteUsiwe kn yeye mrudishie simu yake
ReplyDeletempe tu na umsamehe
ReplyDeleteHii stori ya kitambo jamii forum
ReplyDeletePoa mkuu inafundisha cans msamehe tu
ReplyDeleteHuyo jamaa alocoment uende bagamoyo mara morogoro kisha akipiga mwambie umeenda kigoma kaichekesha sana hhahahahhahha watu mnajua kuongea shit hahahha safi
ReplyDeletehahaha hata mm nimecheka mpaka basi haki ya mungu kuna watu ni funy mpaka basi
DeleteHicho kibao ulichopigwa c ndo tiketi ya kupatia sim, haina haja kurudisha malipo yake hayoo!
ReplyDeleteHuyo anaesema umecopy na yeye akacopy yake afu apest tuisome mwanga yy apunguze dharau sasa khaa!!! Ila iko poa saana chakufanya apo mpotezee ili ajifunze
ReplyDeleteUbaya haulipwi kwa ubaya bro mpe tu bila mashrati yoyote wala ujira wowote,kashajifunza kutokana na ujinga wake.
ReplyDeleteni kweli
DeleteMalipo dharau Ni kibri 2
ReplyDelete