DIAMOND AKIWA NDANI YA RADIO KUBWA NIGERIA BEAT 99.9 FM KWA MAHAOJIANO...
23
March 31, 2014
Baada ya Wimbo wa number One kumpa chat kubwa Nigeria na Africa kwa ujumla ..leo Radio kubwa kuliko zote Nigeria Beat 99.9 FM walikuwa wakimuhoji nguli huyo...hii ni kutokana na wimbo wake kukaaa number moja katika top chat za radio hiyo kwa zaidi ya week moja
Tags
Sorry, nauliza tu, vipi aling'ata yai? Au kulikuwa na mkalimani? Au ilikuwaje
ReplyDeleteOur brother ohhhhhhhhjj
DeleteHili ndilo wazo la kwanza lililonijia. I beeeeeg
DeleteHahahah anonymous wa juu...
ReplyDeleteadmin tutafutie hiyo interview tuckilize lugha ya mawasiliano
ReplyDeleteNgeli ya genge..
ReplyDeleteWabongo bana kutafuta mapungufu ndo kaz yao
ReplyDeleteIf u don know englsh beta 2 stay quite, do u thnk h don no 2 spk engl, so sorry u gays.
ReplyDeleteWe nae!... hiki Kiingereza au uharo? Shenzi zako.... nenda kakojoe mkojo ukalale matako yako...
DeleteMnamuonea wivu mwenzenu mtu akipanda kimaendeleo unampongeza nasiokumponda mtabaki naumaskini wenu mashoga nyie mnamtamani hataki mashoga mnanuka kinyesi. Nyoooooo. Uko juu baba wakuache ule bata wako mburura hawa. Fisimaji.
ReplyDeleteAsante broo achana na hao waxeng big up kwak hap0 juu.obas
ReplyDeleteAta akiwa na mkalimani kwani shida iko wapi wkt English sio Lugha yetu ya Taifa?,Tusiwe na kawaida ya kutafuta mapungufu ya mwenzetu bali ni kumpongeza na kumpa moyo kwa mafanikio aliyofikia...BIG UP Dimond,kaza kamba ndugu achana na wasopenda maendeleo yako...ktk maisha huwezi kupendwa na wote,lazima watajitokeza watu wa upande wa kushoto...ALL THE BEST....
ReplyDeleteNi swali tu mbona nyie mnakuwa ka vile mnachimbwa mizizi ya nyuma ya tako
ReplyDeleteEnglish haijaalishi kuna maprofessor kibao ktk nchi za ASIA hawajuwi English na wanapiga kazi kinoma kwa kuleta maendeleo nchi yao . na kuipa kipao mbele lugha yao mm siyoni ajabu kwa hilo inabidi kumapa support kijana wetu
ReplyDeletewanajua taznania tutaongea kiswahili ...kwa hiyo akiongea vyovyote ni sawa..ajitahidi afanye vizuri..maana number 1 aliifanya kiharakaharaka.....na pia adress good kwenye video.
ReplyDeletehahahahaahahaaaa ngeli ya genge
ReplyDeleteHahahahaha wa tz mnanipa raha sana, lakini lazima ajue amekuwa msanii mkubwa sasa ni vizuri ajiendeleze kielimu nadhan hii itampa mafanikio makubwa zaidi, hongera sana Diamond
ReplyDeletekwenda nigeria ndiyocmnamuona yukoo juuu kawaud sana mbona
ReplyDeletewewe unaenda lini mkundu ww, dogo yuko juu
Deletemwana FA amemaliza yote eti nigeria ata apa bongo kuna wasanii wazuri kuliko uko anapo angaika
ReplyDeleteHe afforded to pay.. Kwani kufanikiwa lazima ujue ngeli! We unaejua kingereza wakati account yako haisomi kinakusaidia nini..
ReplyDeletemkaushie huyoajakujua
ReplyDeleteU GUYS PRESENTATION MATTERS A LOT.BT AM DOUGHT NI CHA KUUNGAUNGA SANA.
ReplyDelete