Toka nimeanza kufatilia hii chati ya TRACE TV, kituo cha ufaransa ambacho kimeshika hata nchi za Afrika kwa kucheza muziki wenye viwango kutoka kila kona ya dunia, sijawahi kuona msanii wa Afrika Mashariki alieshika nafasi ya kwanza kwenye Top10.
Siku zote nilizoea kuona Wasouth Africa na Wanigeria ndio wanaishika namba 1 ila sasa Mtanzania Diamond ameivunja hiyo rekodi kupitia single yake ya ‘number 1 rmx’ ambayo kamshirikisha Mnigeria Davido
BIG UP DIAMOND. WEWE NI NOUMERRRRRR
ReplyDeleteKila la kheri. Mwenyezi mungu azidi kukuongoza. Zidisha ibada na kumwamini utafika mbali zaidi
ReplyDeleteTumpongeze, ila ameacha kile kiza kufanya wimbo huo udhaniwe na kuwa ni wa Davido kwa vile ndiye aliyetamba muda mwingi na kumwacha Diamand akiwa kama ameshirikishwa. Inabidi safari nyingine Diamond wetu ajinyanue kusudi aruke peke yake siyo kuonekana kama amebebwa wakati utunzi ni wake. Halafu wakati nimeangalia comment kuhusu wimbo huo kwenye channel hiyo kuna watu wengi walioonyesha kuwa ni wimbo wa kinaijeria. !!
ReplyDeleteHuu wimbo wa diamond ni mzuri sana nahis hata kabla ya kumshirikisha davido ulikua ni wa revo hzo,sema tatizo mi wasanii wa bongo kulala na kufikila Kurogana tu kila siku nna uhakika kma diamond angeangaika kuupeleka kwenye vituo mbli mbli angeshafika mbali sana.nna uhakika na hii bahati ya ngoma yake kua namba 1 ni kwa sababu yupo davido na inagongwa sana nigeria...i always envy vanessa mdee the chick is tight mwaka mmoja tu kwenye game lakin intrnationally knwn..tukifanya kazi kwa bidii tutafika na sio kurogana tu kma wanavofanya wasanii na wanamichezo wa kibongo.
ReplyDeletehongera zake kujifanya kidume kumpiga wema jana kama mbwa! mwisho wake mmbaya shauri zake.
ReplyDelete