Hakika Diamond si Mwenzetu Sasa hivi Baada ya Video yake ya Number 1 Remix kufanya vizuri na kufikia kukamata namba moja katika kituo kikubwa cha Tv Trace sasa amekuwa kama lulu, Unaambiwa wasanii mbali mbali kutoka Ghana na Nigeria wanamtafuta kufanya nae Collabo ....Diamond Amehabarisha kuwa siku si nyingi ataelekea pande hizo za Nigeria kufanya Video mpya ambayo bado hajasema ni wimbo gani, Pia atapitia Ghana kufanya Collabo Kadhaaa....Big Up
-Regina Iwole
DIAMOND KWENDA NIGERIA KUFANYA VIDEO NYINGINE...WAGHANA WAMGOMBANIA KUFANYA NAE COLLABO
13
March 22, 2014
Tags
Yeye aseme anaenda vizia harusi ingine ya kina p square mxiiiu
ReplyDeletemdau hapo juu usionyeshe wivu nikusema hana uwezo wakwenda mpaka akavizie harusi kunjua roho usiwe hivyo wezako watakucheka.
ReplyDeleteUtakufa na roho yako mbaya na watu kama hao huwa mwenyezimungu anawazibia milango ya rizki. Sasa kama anaenda kuvizia sherehe wewe inakuwasha nini? Mavi ya nguluwe weeeeeeeeeeeeeee.
ReplyDeleteHeheee nyoko wewe
DeleteWw. Hayo maneno 2 waache kumtafta wizzy wahangaike na huyo nyaka domo?
DeleteWachaa Muv iendeleee..DAIWE miaka 900
ReplyDeletebora akaimbe nawanigeria ila waghana simuadvise hata kigodo.Na wewe hapo juu si uende ukavizie harusi.nyooooooooooooooooooo
ReplyDeleteJaman wa2 mnao mwita diamond domo mnaniudhi kwel nyinyi mnafikiri alipenda kuwa hivo na msimkose yeye basi maana hajajiumba mkosoeni Mungu maana yeye ndie aliemuumba
ReplyDeleteAlafu wabongo acheni wivu wa kijinga sio lazima uponde mpeni kijana hongera zake and if u think huna comment nzuri u can juc skip his page lather than kuongea negative things
ReplyDeleteWanaoponda wote wasenge majichumvi
ReplyDeleteAsilete mengine sababu ule wakati alipokuwa Nigeria mwisho ilikuwa na aibu kimpango *kama wajua tukio gani lilitoka akiwa huko*
ReplyDeletePiga kaz domo wasikubabaishe
ReplyDeleteJamani ule mdomo anautumia vizuri acheni tu! Na siongelei kuimba!....lol
ReplyDelete