Flora Lymo ameamua kufunguka kwenye Blog yake kuhusu Mange Kimambi na Haya ndio Aliyoandika:
"Mama na Mwana'' Yani hii ndiyo sababu sana sana nikamuweka Mange kwenye hii Blog yenu ya maukweli matupu leo'Flora Lyimo Fashion Police Blog' Yani Im so PROUD of you Mange'' kwa kuweza kutokumkataa mwanao kwa sababu umeolewa na Mzungu au Mwanaume Mwengine wa aina yoyote aliekukuta wewe ukiwa na Mwanao au wanao ''yani Wanawake /Dada wengi huwakataa watoto wao kisa ni wamempata Mzungu au Mme wa kuwaowa'' Why do that jamani ?''Just take a look at Mange hapa na mwanae wanavyopendezeana yani is the Best think you can ever do to your Child'' Love them hata kama umempata Mme wa dhahabu au Gold'' Please Igeni Mfano wa Mange hapa'' Be Bless Mange na familia yako '' Yani huwa ni lazima ukiwa unakizuri ninachokijua Moyoni mwangu nitakisema na vile vile kibaya'' hiyo ndiyo habari ya mujini always say the truth''
Sasa hebu ona Jamani wanavyopendeeana ,alafu wewe uwe umemkana mwanao unajilia maraha yako mwenyewe na tena bila hata haya unazaa na watoto wengine na huku ukiwakataa wanao wengine''yani wenyewe tabia hizo wacheni mara moja please'' is not nice ,just take a look of hii Familia ya our Star Mange Kimambi na Familia yake''so lovely ''Yani naona aisee hata Mimi my Birthday mwaka huu niifanye hivi ''Just me and my Family ''wacha nijipange fasta fasta maana yakaribiaaaaaa''Ruwa Mangi'' Anyway''Hope nyie mnao wakana watoto wenu mnaisoma hii na kumuiga Mange Kimambi hapa''
Again Happy Birtday and wishing you All the Best utuzalie Mtoto wetu salama''
Flora Lyimo Fashion Police Blog
Pole flora unamsifia mtu ambaye alikunanga kwenye blog yake na matusi kedekede ya wafuasi wake na pia sijaona jipya kamchukua mwanae baada ya kuambiwa kamtupa na wabaya wake
ReplyDeleteSio wewe uliosema mange anamvalisha mtoto wake ma wig Kama Maiti
Deletena mchangiaji mkuu wakati wa kumnanga siulikua wewe nyooo...imekuumaaeeh heheheh dongo lako hilo,,nawe ukamchukue mwanao uliemwacha mwanalumango kwa bibi yake nyoooo
DeleteFlora wewe ndio unasemaga mtoto wa mange m baya Kama waziri wasira na umesema watoto wa frank gonga waziri ( na gladys maneno ) na Bhoke ni house girl kwa Huyo Mzungu .Zenat eti kaondoka kwa mange kisa hawamlipi mshahara na habari hizi umetoa kwa lulu .
DeleteEti naskia jack cliff kauawa china
ReplyDeletesi kafungiwa macau.macau pia wananyonga au?
DeleteWAZIRI WASIRA lol
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
DeleteTopic na jac vitu tofauti .Read the title
ReplyDeleteHuna cha kujibu funga domo lako nyauba wee
DeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteWote malayatu hakuna jipya fyuuuuuuu!
ReplyDeleteBedui bado kalala nicheke na msg za huyu mama.
Deletemange aache kumvalisha mtoto manywele(weaving) bado mdogo,amwache nakumpaka lightening lotion,namuona kanga'aa tofauti na mwanzo.wazungu (wanaume)akili zao ziko mkunduni si nzuri subiri alale nae ndo utaelewa,nishakupa warning.!!!!!!
ReplyDeleteMange Narcisstic personality disorder .Borderline kwa hiyo ni mumuache .Manges brain believe she is God and it's all about her me me me mentality .Huyo bhoke ni extension of her not bhoke Kama mtu mwingine .Its all about her Huyo mdogo wa kiume 3 years old Ana tala awe model .Mange is a sick girl seriously na she needs medication not people .Na mume wake ni enabler he enables all this na Huyo Frank gonga mumuache na uvivu wake Huyo mtoto bhoke ashaharibika na frank kumuachia mtoto mange is amazing
DeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
DeleteTema mate chini hujafa hujaumbuka huyo ni mtoto tu hana makosa ata kama mama Humpendi
DeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
DeleteNakweli bhoke kangaa ila goti limegoma plus ngoko hihihiiiiii
ReplyDeleteJack Cliff amenyongwa huko China. Watanzania mkachukue maiti yenu.....acheni kuuza sembe...mxiiiiiiiiii
ReplyDeleteKauliwa na sindano ya sumu sio kunyongwa
Delete..hi taarifa ni ya ukweli ama vipi?
DeleteJamani Jackie !
DeleteJamani mange ndo nani kwani hapa mjini?afu hivi kuwaweka watoto wenu kwnye mitandao sifa au mnawataftia soko?
ReplyDeleteShe is psychotic mimi sina chochote against her ila sio mzima
DeleteMange kimambi is a CYBER BULLY
DeleteHatari! zaeni wenu km wa huyo dada.
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
DeleteUnaanzaje kwa mfano,,na kizazi huna
DeleteUnajichosha bure kuma mako,,kuandika msg zaidi ya moja,,,kumsema mange,kama,umekosa kabisa la kufanya,,,muombe baba yako aliyekuzaa akutombe alafu ujetena utusimulie,,,,,,,kuma la mamako,,,popote ulipo,,,,,
ReplyDeleteWabongo kwa mitusi,munakela sana
ReplyDeleteToa umbea na wewe,,,munakela ndo nini mpaka unakosea kwa ushambenga,,andika MNAKERA
DeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeletejamani mwacheni mangenita wa watu....kapendeza ,ila weaving kwa bhoke ni big No.amsuke lines au style yakitoto na mavazi pia.mijanaume inatamaa .dunia ngumu niulize mimi mwenzio,unaweza ukalia asubuhi,mchana.jioni yaani24/7,lakini unakuwa huna cha kufanya,
ReplyDeleteNae flora lymo ni mnafik tu
ReplyDeleteFlora lymo aende akueze machupi yake uko
DeleteNawashangaa watu wanatokwa na povu kumsema dada wa watu, mnachukia kwa sababu anawapa makavu live na bado mange keep it up
ReplyDeleteAnachukiwa kwa roho yake mbaya na kubully watu kwenye kiblog chake mtu gani hana marafiki wote kagombana nao
DeleteAnagombana nao coz hawataki kuambiwa ukweli, mange hana habareeee
DeleteNimesoma na Mange bunge primary mtoto mdogo alikuwa tayari na boyfriends.alihama Kwao akahamia kwa Mwanaume ninaongelea Huyo ni mtoto wa primary .Ndio maana nahisi anaona normal kumbalisha mwanae mawig .ata nikimuona Ana boyfriend sitoshangaa
DeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
DeleteWe love you mangeeeeee hao ni very few haters ila endelea kuwachamba
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
Deletecomment nyingi umefuta.loh
ReplyDeleteKwa nini unafuta comments Google is owned na mmarekani is protected by free speech .
DeleteForgiveness iz the atribute of strong......wamemaliza yao mnaona raha daily watu wagombane hunh....wamefanya yao nanyie fanyeni yenu.2829
ReplyDeleteWewe udaku special acha unafiki watu wanapewa makavu yao unafuta usingetuwekea sasa huo utumbo wako shwain
ReplyDeletemnacoment uchafu gan adi comments zenu zinatolewa? kuweni wastaarabu
ReplyDeleteAfu we bloger mbona wengine wakitukanwa aufuti mange unafuta unamuogopa eee au ndo shoga ndo maana nampendaga miss mipua manongi
ReplyDeleteJamani mnamambo lakini kweli Sintah kajaaliwa pua Jamani.
DeleteMange anatikana watoto wa watu .na wakati wake sura yake kama tusi
DeleteDuuh inaelekea mange anawatia watu kiwewe kweli...ikitokea post inayomuhusu tu watu haooo wanamaliza nguvu zao zote kwake...aafu ye km haon vile...kwa blog yake humsikii akiwazungumzia haters mara kwa mar....ye na familia yake na tumbo lake kamaliza..asa kina shost mnavotomboka mishipa ya shingo imewasimama kumtukana asiye na tim na nyie....Mungu humbariki mwenye mapenz mema kwa wenzie ndo alivyo huyu dada....mapungufu aliyonayo ni madogo madogo ambayo kila mwanadam anayo....km tunaamin hakuna mwanadam mkamilifu basi hakuna sbbu ya kumyooshea kidole mange..mwenzenu ndo kashapewa akipenda yy aliyempa atamnyang'anya kwa wakat wake sio mnatakavo nyie
ReplyDeleteUtakuwa umekuja mjin juzi kwa magazeti ya shigongo poleeee haya kapewe matambara ya bure ukooo
DeleteMange yupo juu ata mkimchukia haters nadhan ni pimbi sintah huyu aka dada wa kujiendekeza kwa wadada wa mjin lakn hawamtaki
ReplyDeleteMe nadhani ni mrs sembe huyu, Hahahahahaha
DeleteNi kweli bhoke kafanana na wasira
DeleteKwani siyo mtu? Nyooo
DeleteMange Ana damu ya kichukiwa kwa Sababu mimi personal Nilimuonaga airport nilipomuona tu my spirit was not good she brings negative energy .havumi lakini yumo
Deleteau joyce kiria,aaaah!!!tatizo mange anasema ukweli...maskini we!huwe unadanganya kama mimi ndo watakupenda jitetee mwenyewe usijali kuhusu watu wengine.SEXFREE ndo iliyosababisha.
ReplyDeleteHahahahaha mdau umenifurahisha sana eti sexfree, huyu ni lazma mapua matatu sintah mwenye gundu la kukimbiwa na mashost mana ni mshamba afu maskini
DeleteI have nothing against Mange or her family but truth be told.. Nakubaliana na mdau aliyesema kuwa Mange is selfish na anyone or anything and every thing is there kwa faida yake. Huyo Bhoke maisha yake yote yatakuwa for the reason ya kumpa sifa mama mtu, kuanzia nguo anazovaa lazima ziwe zitakazompandisha chati mama. She will never have a life of her own the poor girl. Mange is a control freak. Labda nyie hamkuona lakini mimi nilinotice hakuna picha hata moja ambayo yule mzungu ameshika hata mkono yule Bhoke, yani anamshika mkewe, au mwanae lakini bora mkono auweke kwenye mguu wake mwenyewe kuliko kumshika yule motto. Mtoto yule unaona hana raha, she does not have a natural looking face na wazungu hawawezi kujipretend hata kidogo unaona kuna picha moja yani mwanaume amesogea pembeni kabisaaa it is so unnatural... Manage analazimisha mambo na amemchukua huyo motto na kumsifia hivyo kwa sababu watu walimsema so every thing she does ni kuprove a point au kuplease wapambe.. utachoka na utamfrustrate motto wako vibaya sana. Sasa I can predict kuwa picha atakazopiga tena atamlazimisha mume amkumbatie Bhoke nyie subirini mtaona... Mange you are so fake! and I feel sorry for you and it is not sustainable hata kidogo!
ReplyDeletena mimi ndo kilichonipa wasiwasi...mtoto hayuko free na baba yake ndo maana nikasema hivyo..anagenerate kitu kibaya sana!!!!
DeleteWeraaaaaaa kimbizaaaaa mwana Wa kimambi,huko juuuuuu Ka mpera
DeleteNarcisstic borderline disorder ndio ulioelezes hapo juu.mange Yaani brain yake ni me me me me Yaani my heart goes out to her children Yaani Dah .Narcisstic personality destroys kids kwa Sababu mtoto anafanya vitu kwa pleasing a mother who is mentally ill.Whete is the father for god sake
DeleteJamani mmekula ? Au munachambana tuu hapa.
ReplyDeletehakuna mtoto mbaya duniani. na kama mbaya ni kwako kwa mzazi ni mzuri. na wote mnaosema mbaya onyesheni wenu au ndiyo wameishia hosp maana kuna wasichana mumtoa mimba mpka mayai yameisha. hosp mnashidwa kupita kwa mlivyo dhulumu roho za watoto wenu
ReplyDeletemangr hongera endelea kumpenda mtoto wakoooooo
Kweli mange ndo Habari ya mjini mama, mana umejaza mi comments balaa watu hawaoni posts zingine loh
ReplyDeleteHana lolote kwake kule anabana coments wacha apewe ujumbe wake humu alafu wewe utakuwa wakuja mjini pita ivii..
DeleteHahahahaha wabongo mbawivu, mtuache na mange wetu
ReplyDeleteAnawakimbiza nyie watoto wa shule kwa fekero life yake watoto wa mjini saa ngapi wana muda naye kachambeni mkalale team mavi mavi pyeeeeeee
ReplyDeletemange ndo habari ya mjini mmetokwaje na mishipa ya shingo kwa kutukana looo mwacheni mwana wa mwenzenu tatizo wabongo huwa hatukubali ukweli , mtu yoyote akiwa msema kweli lazima jamii imuchukie , ndo maana hata marafiki hasa wa kike mnapakana mafuta kwa mgongo wa chupa kuitana majina lukuki lakini mioyo yetu imejaa chuki ,
ReplyDeleteMange keep it up, achana na wenye chuki binafsi, wewe endelea na maisha yako tupo wengi tunaokupenda na wachache sana wanakuchukia
ReplyDeleteMtajibeba, team mange for life
ReplyDeletemange hongera ,wenye vijiba vya roho maninaaaa.....,mnataka mange amkane mtoto wake kama sinta???/na kuhusu mkorogo matazameni sinta ndo mtajua mpaka mkorogo nani ni sinta au bhoke .love u mange kimambi
ReplyDeleteAta kama mtoto wake mbaya si wake kwan amewaomba mumsaidie kumlea? Superwoman congrats mama Bhokenzo
ReplyDeleteHata kama alimtelekeza ndiyo keshajirekebisha na kumfuata. Igen nyie masister du uchware mkafate watoto wenu huko kwa bibi zao. Wa kwanza Sinta, fata mtoto wako huko siyo kujifanya hujazaa wakati unamtoto.
ReplyDeleteMtoto alikuwa better na baba yake ( bibi) .
DeleteHuyo alomsifia mange ni mtu mmja umejaza micoment kibao kisa kile kiwig alichokupa na anakitaka hhhha chezea mpare mbahil ata akae ulaya vp bado bahili komeni kujipendekeza maraya nyie
ReplyDeleteKanjubai mange sura imemparama hatari kama kosheo la vyombo
ReplyDeleteuyo mange wenu anatapatapa tu, mara ooh mama mkwe hataki tununue gari tubaki na kalekale kaduchi,mara ooh nimemiss range anasahau kuwa ilikuwa ya kazini ya bure hehehhee, mara ooh porche mavi subutuuuu,bado sana mtasheare ilo gari dogo hadi dunia igeuke chezea, na bado baby mpya sijui atamlaza wapi mana room moja kenzo, binti wasira na uyo kijacho itakuwa analazwa kwenye ile stroller aliyonunua mana hana space,wamefumuliwa watoto kama panya bila kuwa na mpangilio wa wapi watakaa hehehe analooo mbona
ReplyDeleteakiwekwa Mange umu ndani coment zaid ya 50 anamfunika hata Wema Sepetu lol. Ameshazoea kusemwa na kuchabwa kachabwa toka enzi za utaku itKuja kua udaku spesho? Anamapungufu yake lakin anamazuri pia ila ni mtu wa kujirekebisha. Kaamua kuish vile mwacheni jaman. Mwanae bhoke anampenda sanaa angekua hampendi asingekuaga anaenda kumuiba kwa bibi ake wakat yupo mabibo hostel hata kwenye harusi yake asingeonekana. Mwacheni bhoke wa watu makosa ya mama yake yasiwe adhabu yake.
ReplyDelete