Haji Ramadhani ni msanii aliyetajwa kwenye line za wimbo wa Salaam zao wa Ney wa Mitego kwenye wimbo ambao baadhi ya mashairi ya wimbo huo yanawataja yeye Haji Ramadhan na Water Chilambo kuwa hawana pesa na wako tu mtaani bila ramani yoyote.
Sasa kupitia Exclusive Interview na millardayo.com Haji Ramadhan ametoa jibu la kamili kwa kusema>>’Ney kama Ney ameamua kuongea kwa sababu ameamua kufanya style fulani ya kutokea,labda alimlenga mtu aliye nae karibu lakini kwangu mimi hajui na wala hatuko karibu’
‘Mimi sijafulia mimi nina maisha yangu mazuri naishi vizuri nimekutana na Ney kwenye Fiesta Leaders ye akaanza kulalamika eti mshkaji unanikanda sana,Ney hajui muziki ni basi kipaji tu amejaaliwa kupendwa na watu wala hawezi kunigusa hata chembe’
‘Mimi kwangu Ney ni dogo mwili tu ule nikamwambia dogo wewe unanichafua binafsi haikuniathiri kwa sababu mimi ni mwanamuziki mkubwa kuliko Ney kiukweli,kimuziki nipo juu ya Ney labda kijina yeye ana jina kubwa kuliko mimi,maneno ya Ney hayanishushi na mimi sijafulia’.
HAJI RAMADHANI WA BSS "KI UKWELI KIMUZIKI NIPO JUU KULIKO NEY WA MITEGO HATA AKINIPONDA"
5
March 18, 2014
Tags
Nyamaza wee Ney moto. Wa kuotea mbali
ReplyDeleteporojo tu kama ye dogo na maneno hayakushush unalia nn? ile ni msg sent babaa #teamnakula ujana miaka100000 huwez mfikia ata ukatambike....we kipaji chako kimetengenezwa ...chake cha kuzaliwa
ReplyDeleteUshauri wangu kwako ww Ramso, labda ukaimbe kwaya tu, angalau hata mm nitakusikiliza, pole sana
ReplyDeleteUnatafuta kick?
ReplyDeleteNey anajiamin na hatotokeamwingne kama yeye! Sms sent usilie
ReplyDelete