HII NDIO SABABU KWANINI VENESSA MDEE HATAONEKANA KWENYE SHOW MPYA YA TV1

Kuna taarifa zilianza kupatikana kupitia vyanzo mbalimbali vya habari kwamba msanii ambae pia ni mtangazaji wa 102.5 Choice FM Dar es salaam Vanessa Mdee ataonekana kwenye show mpya katika kituo cha Television cha TV1.
V money anapenda kukufahamisha kwamba hatoonekana kwenye show hiyo, yani hajaichukua hiyo kazi kutokana na ratiba yake (V) kumbana kutokana na mipango yake ya sasa pia ya kusafiri kuendeleza muziki wake.
Imekua ngumu kwa sasa sababu ameamua kufocus zaidi kwenye muziki hivyo atashindwa pia kuhimili kuifanya hiyo kazi ambayo pia inaratiba kubwa ya shooting.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hongera and kip it up

    ReplyDelete
  2. watangazi waliosomea wako kibao..kwani mpaka yeye....bongo kwa sifa

    ReplyDelete
  3. Mshka mawili moja humponyoka,,,kaza buti imba,,na punguza Mdomo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad