![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiVTkhT1Q_MDpihhLQyK3Syc-4vBGmljOJb_N0XSSjbvds0Nm1gGy5jQ0BQ4cwfWTjq8p8leiEJlilW2sBmB22SQ8caRGaP2PcPhkLUiYDCahe0e0CIjgcAEHQXSQeyQRfNZlZXYLKLBJ8/s1600-rw/apinga.jpg)
Mkuu wa Nchi kamaliza kuhutubia Bunge la Katiba. Kimsingi kaegemea upande wa msimamo wa Serikali 2 ambao ndio msimamo wa CCM chama anachoongoza. Hata hivyo kasisitiza kuwa iwapo tunataka Serikali 3 basi tuzingatie hofu zilizopo ikiwemo masuala ya Uraia, uwezo wa kifedha wa Serikali ya Muungano nk.
Ni dhahiri kero za Muungano zilizodumu kwa zaidi ya miaka 50 haziwezi kutatuliwa na muundo ule ule uliozitengeneza.
Jawabu l...a muungano wa Tanzania ni muundo wa Serikali tatu wenye Serikali ya Muungano yenye nguvu na rasilimali. Tunaloweza kuongeza ni kuweka mfumo wa Tawala za Mikoa wenye kupanua demokrasia zaidi kwa kuchagua wakuu wa mikoa na kufuta wakuu wa wilaya.
Ni dhahiri Uraia itakuwa ni 'deal breaker' kwenye suala la muundo wa Muungano. Hili litajibiwa kwa kuwa na Nchi moja, dola moja na Serikali tatu-Zitto
na wewe ni chama gani? au upo kikuua chadema? maanake hatukuelewi?
ReplyDeletezitto akapimme ukimwi kwa nguvu,
ReplyDeleteAkili zipo mkundun au kichwan?
ReplyDeleteHivi ni kweli matatizo ya kuwa na wake wawili utayatatua kwa kuongeza mke wa tatu?
ReplyDeleteTafakari, chukua hatua........
Mshua kasema maneno yake ila waamuzi ni njie mlio mjengoni sasa kelele za nini au ndo kutaka KiKi..
ReplyDeleteZito huna swaga!Chama chako kinakushinda!
ReplyDelete