HONGERA PETRIDA FASHION (MKE YA MUZUNGU) KWA KUFUNGA NDOA





Hongera petrida fashion(Mr and Mrs Karch) kwa kufunga ndoa.

Ameolewa na Mjerumani  iliyofanyika huko huko Ujerumani Sasa Ameanza Maisha Mapya baada ya Kumpata Mwenye Mahaba Niue kutoka Ujerumani...Hongera Sana Petrida..
See More Photos @ http://petridafashions.blogspot.com/
Tags

Post a Comment

52 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Namimi nataka mume mzungu sijui ntamtoa wapi wabongo sitaki kuwaona kabisa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sijui utajibiwaje...comment zitahamia kwako...

      Delete
  2. Tatizo n uaminifu. Ni wachache sana...waaminifu...Bora yeye...

    ReplyDelete
  3. Njoo ulaya uone mizungu ilivyo kuwa sio miaminifu ujinga wenu ndio maana kila kizuri ni cha kizungu sio hivyo dada wengine hapa tuna miss hata nyama ya kuku wa kibongo na mademu wa kibongo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwenda zako usiwadanganye wenzio.

      Delete
  4. ...ha ha ha ha ha! Uamifu ni roho ya mtu dada'angu! Kwani wazungu nao ni watu hivyo km udhaifu wanao! Tena wao ndo mbaya hata kuliko wetu! Mfano hapa kazini kwetu kuna mfanyakazi mwenzetu Mzungu raia wa Italy amesimamishwa kazi kwa kosa la kumnyanyasa mke wake! Je ukikutana na wa hivo poa kwa vile mzungu? Kuoa si kazi kazi ni kudumu ktk ndoa!! Pia zile kelele usikiazo siku ya harusi zile si shangwe shangwe ni maisha baada ya harusi!

    ReplyDelete
  5. Huyu dada bado yupo na hao wazungu walio choka .dada zetu karatasi zinawaponza.

    ReplyDelete
  6. mbona mbabu??

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wazungu wakifika 28 years old nywele zinakuwa nyeupe na wengi bold

      Delete
  7. we dada hapo juu,,,,unasema!!!!!!!!!!!!???unataka mzungu?mzungu unamjua wewe!!!!!shauri yako .....uliza wahenga lakini ndo hivyo kipenda roho ula nyama mbichi,,hata nikikwambia aiwezi saidia maana umeshatamka inamaana ni kitu ambacho unapenda.mzungu ni mbaya sana.(aielezeki)

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha ubinafsi we una mzungu umepata karatasi na unakula hela za benefit,acha umimi mnyoooo

      Delete
  8. SITAKI MZUNGU WALA MJERUMANI NAKOMAA NA HAWA HAWA NGOZI NGUMU WENZANGU UKITAKA KUOLEWA NA MZUNGU HUPATI KIJANA UNAPATA WAZEE MAISHA GANI UJANA ALE NA NANI UZEE AMALIZIE KWANGU

    ReplyDelete
  9. we we unaetaka mzungu kumbuka kiwa karibia kila kitu wanacho fanya wabongo sasa hivi wameiga kwa wazungu

    ReplyDelete
  10. Hongera mwaya kwa kujiopolea mzungu wako, binafsi wala sioni uyo mzungu kama ni mzeee, wzungu wakifikisha miaka 45 nywele zinaanza otavimvi kwa mbali si kama sie waafrika icho ndo tunachojivunia afrikan mens, hongera sana dada yangu, wangapi wameolewa na mibabu,mizee na wengine kuishia hata kuzalishwa na wajaolewa hadi leo na hao vizee uyo mzungu naye mtamwita mzee, wanawake acheni wivu kaeni na nyie mtafute wenu msibwabwaje tu ndo mana hamuolewi si na sie kaka zenu wala hao wazungu kwa roho zenu mbaya za wivu

    ReplyDelete
  11. Namjua uyu dada uwa nafatilia sana blog yake,anamaisha safi sana na mzungu wake anaonyesha anamihela mno,kweli kaopoa mana yupo full maholiday mala leo uku kesho kule na mwanae,plus usafiri wake mwenyewe wala hashei na mumewe,ila nachompendea blogyake anamtukuza sana mwanae na anampenda pia maana wengine ndo wangekuwa na ela kama yeye, na wazungu milionea wangesahau hata watoto wao waliozaa na kuwatelkeza kwa bibi zao, ila yeye muda wote busy na mwanae kama raha wanakula wote., safi sana big up petty.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hilooo mkundu weee linavyojifagilia,subiri usifiwe bidada,au wataka kutiwa jiti la mkundu?mume asipokufikisha njoo kwangu nikumalizie haja.

      Delete
  12. eh mdau apo juu ulivyotaja petty jina ndo namkumbuka, mhhh mbona kabadilika sana hadi nilishamsahau jaman kweli pesa sabuni ya roho, aliolewaga na mzungu mwanzo akaachika nilisikia mzungu alikuwa ananmnyanyasa saivi kajiopolea mjeruman milionea mwenye miele yake kasahau shida zote anakula tu raha kwa raha zake,nilisomaga naye namjua sana sema uzuri bado hana dharau yupo simple hata kwa rafiki zake wa zamani na ni mtu wa kujichanganya sana bila mashauzi,si kama wengine wangekuwa kama yeye na marafiki wote wangefutwa kisa hawapo level yake tena na kusahau walipotoka, yupo poa sana japo hakuwa rafiki yangu kiivyo sana kabla ila nawasilianaga naye maramojamoja

    ReplyDelete
  13. Hongera mwenzangu, makaratasi ya ujerumani kuyapata si lelemama, hasa upate wa kukuoa, wangapi tunaangaika uku miaka na miaka na tumeshakosa hata hao wa kutuoa na twatakiwa kurudi nyumbani muda umeisha ila ndo hatutaki twakomaa na jiji kama sauti ya shilole hehehhehhe

    ReplyDelete
  14. na mbona bloga yake mwanae yupo busy sana na maflana na nguo za mpira kulikoni au ndo mama yake fan wa mpira basi na mtoto ndo anaiga pia.???? ila anamtoto mzuri jaman hadi namtamani uwiii

    ReplyDelete
    Replies
    1. Una comment mwenyewe pua wewe,kwa uzuri gani hasa?

      Delete
    2. Mdau umeona eeeee,hizo ni comment zake,haya bidada tumekusoma.lala mbele na mzungu wako

      Delete
  15. namfatilia sana uyu dada hata instagram yake pia, mzungu wake anamihela anakula raha balaa kama hana akili timamu,mumewe anamiliki timu ya mipira ujerumani na pia anachapa kazi kwa kampuni kama bosy so anamihela si vijihela,aya wale wa mashauzi na ela za kuhesabu mfateni mkamuombe msaada mshine mana ndo kama gia kashapiga mbali sana sasa.maisha yenyewe mafupi kula raha mwaya hata ukienda mbinguni una cha kusimulia uko.maana wengi wanatamani sana raha kama izo hawazipati na kuishia joto hasira, ooh wazungu wabaya, ooh niulize mie maneno ya mkosaji tu hayo, enjoy dada yangu japo usinisahau kaka yako maramojamoja kunitoa na mie

    ReplyDelete
  16. wazungu mbona kama wabongo tu jaman, nao kuhonga kama kawa, nitakomaa na mbongo wangu hadi kifooooooooooooo, sitaki maisha ya mtelemko kisa ela acha tuvune wote kwa shida na raha na wala sioni tamaa ya nini, maisha ni popote tu cha muimu kuwa happy full stop

    ReplyDelete
  17. Hongera yake jaman tumpe, wangapi wanaachika wanaishia kulandalanda mara leo na uyu, kesho yule na kuishia kuzalishwa tu na hawapati hao wa kuwaoa tena, katoka ndoa kaingia ndoa kila mtu na bahati yake aliyopangiwa namungu, wivu tuache kizuri kisifiwe na mtu apewe sifa zake ndo mana hatuendelei kwa roho mbaya za kuponda vitu vizuri kisa wivu si utafute na wewe wako kama rahisi kuolewa tena. shamimu mbona katoka ndoa yake ya kwanza naye kaingia ya pili anakula maraha tu analala juu ya minoti japo ya sembe,ila yupo happy ndo muige na kuuliza walifanyaje hadi kuolewa tena na watu wenye mafanikio zaini siyo kukaa chini na kukata tamaa na kuishia kupigana na screen za computer zenu kutype macomment yasiyo na kichwa wala miguu kisa wivu, ndo washatoka ivyo . kama limekuuma kanawe miguu ukalale, ukishindwa zaini nitafute nipo single pia nitakuoa .

    ReplyDelete
  18. Fanyeni yenu wivu unawasumbua eti wazungu wabaya huku mnawatamani mtu kafunga ndoa yake nyie midomo juu. Ndogo wangu petty hongera sana mungu ailinde ndoa yako. wabongo tushawazoe kupenda kuponda maisha ya watu hata angeolewa na mtu mweusi bado mngeongea utumbo msonyoo.

    ReplyDelete
  19. Petrida acha kujiandikia mikoment mia mia tushakujua unatafuta kiki mjin nyooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeona eeh,yaani hata hajui kama kuna watu wanamjua ndani na nje,ku ji comment mwenyewe si ni sawa na kujidanganya mwenyewe,mjinga sana huyu .

      Delete
    2. Petrida ni mshamba Ebu lala mbele na kib....chako.

      Delete
    3. Comment 10 zimefika ni zake mwenyewe anajifagilia.una bahati nimeamka vizuri ningekuporomoshea matusi mpaka ushike adabu yako.

      Delete
    4. Mdau Wa 6:40 Ukitaka andika kibabu au kibamia?Kwi Kwi kwi

      Delete
  20. aya na mie mbongo nipo sinza dar natafuta mke wale mliokosa na mwasaka wazungu nifateni mie namahaba kama ya wazungu pia

    ReplyDelete
  21. kweli wabongo ni malimbukeni tena sana zadi ya sana, ivi hao wazungu ndo wanaume peke yao, mana kila mtu mzungu, mnatuacha solemba kaka zenu kisa kusujudu hao wazungu,mbona ni watu wakawaida tu kama sie? mana wapowazungu maskini kama wauza ice cream bongo na matajili so wote sawa tu kisa rangi acheni papatikia wazungu utazani ndo wao wanaume peke yao duniani.

    ReplyDelete
  22. mke wa mzungu mange peke ake wengine wote walala hoi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mzungu wa mange kafulia .yupo kawekwa Kwenye 2 bedroom apartment .gari moja bwana na bibi.Hizo apartment kama umekaa USA Hilo carpet na blinds ni very cheap apartment .cheap carpet na chumba so tight tv hapohapo kitanda Yaani Maisha ni kazi

      Delete
  23. Ha ha ha ha ha ha ha, we mbeba pochi wa mange umenichekesha. Sasa kwa taarifa yako mimi ni mbogo na naishi marekani, a.k.a mbeba box mashuhuri. sasa nikueleze ndugu, huyo mange wenu anamaisha ya kawaida sana na huyo mzungu wake, hata kwa TK (Teddy Kalonga) tu hachovi ila ndiyo hivyo TK hanaga ushamba wa kujianika kama huyo mange. Tuulize siye acha kulinganisha maisha ya kusoma kwenye blog wewe mchimba chumvi, watakucheka watuuuuuuuu...... ok byeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kama umenuna kunywa maji glass tatu kwa afya yako

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sawa Bedui tumekusoma.shushia na cocacola

      Delete
  24. Kwan mzungu na mweus nan mtam? Mana naona wengi mnashobokela weupe

    ReplyDelete
  25. we unayemsema mwenzie mbaya wewe mzuri tusikufuru kazi ya mungu na uumbaji wake jaman, msije ishia wagumba na kauli zenu kisa wivu sasa binti wa watu kakukosea nini hadi umseme mbaya sijui,aya hata kama mbaya u mzuri ndo kashaolewa wewe je umeolewa au ndo unakufa na maumivu rohoni kalale mbele uko. weka picha yako watu wakuone kama unauzuri hakuna binadamu mbaya wala mzuri wote ni sawa duniani ndo kazi ya mungu na uumbaji wake msonyoooo

    ReplyDelete
  26. Wanawake tuna kazi kweli kweli,yote ni wivu tu msione mtu kafanikiwa au kapata kitu badara mumfariji na kumwombea mema ndo kwanza twataka shushana sasa dada wa watu kawakosea nini? kisa kaolewa au? kama ujaolewa si chakalika na wewe uenda utaonwa na kuolewa nini joto hasira

    ReplyDelete
  27. hakuna tofauti yoyote kati ya wazungu wala waafrika wote sawa tu acheni kudanganyika dada zangu labda tu mnachopendea hao watoto mnaozaa nao mapoint five otherwise wakawaida tu japo watoto ni watoto tu awe mwekundu, mweusi,albino wote wasa.

    ReplyDelete
  28. hongera mwaya, nice dress mungu akulindie ndoa yako iwe na furaha tele na tele

    ReplyDelete
  29. Out of topic ,nasikia wema sepetu na diamond platnamz wazikunja kavukavu studio,kisa diamond alikuwa anarecord na Victoria kimani.asalaleeeee mapenzi nivurugeeee nimalizeeeee.Wema chunga mzigo wako,joketi nae ilikuwa hivyo hivyo Oooh tunarecord kumbeeee wakimaliza kurecord wanaenda kutiana

    ReplyDelete
  30. wanawake acheni wivu usio na maana,uyo dada awe mbaya au mzuri wewe yanakuhusu nini, by the way dada wa watu mcute mtake msitake ndo mungu kashamuumba na kumpa mume,wivu wenu mtabaki na roho kama za sumu bila kupewa na mungu.

    ReplyDelete
  31. uyo wema anamsaidia Diamond kusafisha nyota yake tu, aksihamaliza mtumia kibissiness anamtupa kula, apo ni kumpotezea wema wa watu tu muda mana naye kama limbukeni anapelekwa tu na upepo bila kujijua wapi direction yake ya future,ajui mwenzie yupo kimaslahi zaid na uyo victoria subilini tu soon mtasikia ndoa anaolewa na diamond bibie anamwagwa mana hata joketi ilikuwa ivyoivyo recording kazi kwelikweli na sukari ya warembo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe we eeeee utamuua penny mwenzio Yuko tegeta standby anasubiri wema atemwe arudishe majeshi.

      Delete
  32. I wonder why wengine mwajifanya kumjua sana haiwahusu,it's her time and age kutesa mumuache loh!

    ReplyDelete
  33. wamuache binti wa watu ale raha, maisha yenyewe mafupi haya, wangapi wanatamani kuwa kama yye na wanaishia maneno ya wakosaji,by the way mwanaume ni mwanume tu awe mbongo au mzungu cha muimu ni kupendwa na kuwa happy,so kila mtu na chague lake, wapo wahindi, wachina, waarabu kwazi kwenu wadada .

    ReplyDelete
  34. Haihusu kupondana na kuoneana wivu cha msingi ni pale moyo wako unapofurahi ndoa imepagwa na Mungu bwana na wala si mwanadamu hivyo kila mtu ana wake awe mzungu,mchina,makonde au mchaga mumuwache mtoto wa watu kwa raha zake mwaya Petty mdogo wako enjoy your marriage achana na waha mashokoro

    ReplyDelete
  35. wem anachezewa tu na uyo diamond wake hajijui tu mana anadhalilishwa na kuachwa lakin bado anang'ang'ania utazni wanaume wengine hawaoni,kama si ulimbukeni

    ReplyDelete
  36. Jamani mbona kuna wabongo wengi tu wameolewa ulaya na wazungu na wanamaisha mazuri tu lakini wapo kimya wanakula raha kivyao. Hebu nyie washamba na hivyo vibabu vyenu vya kizungu tupicheni sie. Muwe na hela muwe masikini sisi haituhusu matangazo ya nini? hizo hela kama zinawawasha rudini bongo mje mtoe misaada kwenye vituo vya yatima mpate Baraka za mwenyezi mungu. Mnajishaua ukute familia zenu zinalala njaa huku bongo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Well said,upumbavu mtupu,Hiyo ndoa ya pili,bado kangangania vibamia

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad