Na pengine ndilo hasa linalochangia ndoa nyingi kuvunjika na pengine imewafanya wanawake wengi kubakia ma single. Katika tamaduni zetu, mwanaume siku zote ndiye provider wa familia. Anafanya matumizi ya kila kitu kinachofanya familia iendelee kuishi vyema, Chakula na kulipa mahitaji. Mwanamke yeye kazi yake ni kuakikisha nyumba inakuwa safi na familia siku zote inapata chakula.
Lakini sasa mwanaume wa kiafrika amekuwa na mawazo ya kimasikini, kwamba mwanamke naye alete chakula na kulipa mahitaji. Hii inawapelekea baadhi ya wanawake kubaki masigle kuliko kuolewa. Kama anaweza kulipa mahitaji, kutafuta chakula kama mwanaume. Anakuwa na uwezo wa kuishi peke yake labda atampata mmoja temporarily wa kumzalisha.
Wanawake pia wamegundua kwamba, ni vyema kuchukuwa jukumu la Mama na Baba katika kulea watoto wao kuliko kuteseka na ndoa ya mwanaume mvivu kisa tu kuwa na figure ya mume. Ambaye yuko pale kwa ajili ya watoto.
Ni changamoto tu, wanaume tufanye kazi. Za mikono na akili
IDADI YA WANAUME WAVIVU YAONGEZEAKA YASABABISHA NDOA NYINGI KUVUNJIKA
13
March 20, 2014
Tags
ukweli mtuuuupu
ReplyDeleteWANAWAKE wanajitakia kwa kuhudumia Mwanaume
ReplyDeleteUshuzii wake lazima unanukia vizuri.
ReplyDeleteNatafuta mzungu wa kunipa mbegu nizae sina mpango wa kuolewa
ReplyDeleteNi ukweli mtupu.husband wangu yuko tayari nikate nywele kisa 1000 ya kwenda kusuka.
ReplyDeleteSitumii dawa wala sisiki rasta
kwa kweli imaumiza mpaka unaona km unakufuru
heri umesema
ReplyDeleteMakubwaa
ReplyDeleteWanawake mtabadilika lini? mwanamke ni msaidizi ni lazima mwanamke na mwanaume wa saidiane ,mfano hapa tunasaidiana sio swala la kutegemea mtu mmoja hayo ni mawazo mgando,utamtegemea mume wako mpaka lini? na akifa ndio uwe hujui bills zinalipwaje? ndio maana biashara za kiafrika zinakufa baada ya baba kufa,kwa kuwa wanawake hawataki kujihusisha,mshirikishe mke wako kama mimi unapata wapi bidhaa China ,au saudia,hata mmoja akitangulia mbinguni basi maisha ya endelee sio kuwa mwizi,au Malaya.
ReplyDeleteTujifunze kwa wenzetu wahindi,na wazungu,baba atalipa kila kitu mpaka lini,acheni mawazo ya miaka 50 iliyopita.
Huyo anaetaka kuzalishwa na mzungu kwa kweli ana mfadhaiko wa akili mbali ya kuwa Mjinga a kwanza duniani. Unatia kichefuchefu kabisa.
ReplyDeleteAtaka kufirwa tu huyo kwani we hujamuelewa?
DeleteMzungu atakupa nn zaidi ya kifiro? Mijitu mingine bn ujinga tu!!
Wanawake mnaotetea huo ujinga ni wasenge sn na hata ww admin yaana kwa maisha ya ss si ya mwanamke kumtegemea mwanaume tu Bali tunapaswa kusaidiana inamaana mm nikipata matatz nyumban tufe na njaa ww umekalia papa lk tu na makalio acheni uboya
ReplyDeleteHivi wanawake mnalalamika nini hapo sasa, si ndio mnataka haki sawa , kila kukicha mnadangabyana haki haki haki sawa haki sawa, sasa kinawashinda nini nanyie mkitafuta pesa zakutunza familia? Nikama hamjajitambua kabisa, mapenzi hayana democrasy , kama huamini ingiza democrasy kwenye mahusiano yako uone kama hujabaki peke yako,
ReplyDeleteShida nikwamba wanawake wakiafrica wanaiga mambo yakimagaribi sana , bilakujua mila za kiafrica zinarlekrza vipi kuhusu mume na mke,
Hebu soma pale juu yule nayr eti anatafuta mzungu wakumpa mbegu haha haha amakweli malimbukeni wako wengi, yaani mzungu unamuona deal sana kuliko muafrica mwenzako??? Ama kweli waafrica wengi ni mambumbu kabisaaa , ubaguzi wote wanaofanyiwa waafrica na hao wazungu wewe unaona deal sana kumpanulia mzungu, wewe ni mpumbavu kabisa kabisa,
hao wengine mnaowataja kam wazungu wala hawadumu katika ndoa zao kutokan na mambo kama haya, baba bize na kazi mama bize na kazi na ikitokea mmja nyumbani ajishugulishi, ndoa hamna, kama wote wanaenda sambamba na maswala ya home, kama kuanda misosi, kuangalia watoto, kazi zote za nyumbani wote sambamba haaa!!! hapo wanendelea, lakini mama akizidiwa tu home, nje kazini mama anasepa kivyake, na watoto sasa inabaki maswala ya kulea kwa zamu, kwa mwezi mara mbili nyumbani kwa mama, mara mbili nyumbani kwa baba, ndio mpango mzima unaobaki, au baba akishindwa kulea, iliyobaki ameleke nusu ya mshahara wake kwa mama, ili watoto wapate kulelewa, sasa hapo atachagua kusuka au kunyoa
ReplyDelete