INASIKITISHA WATOTO WATEKETEA KWA MOTO WAKIWA WAMELALA TABORA
10Udaku SpecialMarch 26, 2014
Watoto hao walipokuwa wamelala na kuteketea kwa moto ambao chanzo chake inadhaniwa kuwa ni hitilafu za umeme. Miili ya watoto wawili wa familia moja Daniel Paul(8)na mdogo wake Emmanuel Paul(3) ambao wamepoteza maisha baada ya nyumba waliokuwa wakiishi kuteketea kwa moto huku wakiwa wamelala ndani majira ya saa moja asubuhi peke yao huko eneo la mtaa wa Rufita Mwanza road Tabora mjini.
au gass...bora kupikia mkaa...jamani kha!
ReplyDeletePoleni Jamani
ReplyDeletePolen watoto!
DeleteWazazi wao walikuwa wapi? Jamani mbona wana roho mbaya, mida ya saa moja watoto, wa shule wanajiandaa kwenda shule? Wazazi ni wazembe, R.I.P watoto
ReplyDeletePUMZIKENI KWA AMAN
ReplyDeletemungu ailaze miili ya marehemu mahali pema peponi amen
ReplyDeleteIna lilah wainalilah rajeun
ReplyDeleteMungu uwapokee malaika hawa
ReplyDeleteDah inatia uchungu sana polen
ReplyDeleteDah inatia uchungu sana polen
ReplyDelete